Fumanizi kwa Mwanamke/Mwanaume

Erickb52

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
18,539
11,440
Hivi kwanini mwanaume anapofumaniwa na mkewe au mpenzi wake huomba msamaha na kusamehewa lakini unapomfumania mwanamke na jamaa mwingine hakunaga msamaha? Hapo huwa ndo mwisho wa mapenzi. Kuna nini kinachopelekea haya kutokea katika jamii.
 
...Ni kweli kabisa Lizzy. Tena wakati mwingine katika mazingira magumu mno ambayo unadhani mkosaji hatasamehewa.
 
Mambo yamebadilika, wapo wanaume wanasamehe. Nyani ngabu tu ndio hasamehi.
 
Sio kweli, wanaume kibao wanasamehe over and over again.
Lizzy kumbuka wapo ambao wanakuwa wamewekewa madawa, naomba hao usihausishe, check na walio na akili zao timamu.
 
...Ni kweli kabisa Lizzy. Tena wakati mwingine katika mazingira magumu mno ambayo unadhani mkosaji hatasamehewa.

BAK hiyo sikatai kutokea ila ni kwa nadra sana
 
Hivi kwanini mwanaume anapofumaniwa na mkewe au mpenzi wake huomba msamaha na kusamehewa lakini unapomfumania mwanamke na jamaa mwingine hakunaga msamaha? Hapo huwa ndo mwisho wa mapenzi. Kuna nini kinachopelekea haya kutokea katika jamii.

Wanaume weng hutumia ubabe wakifumania,ila wa'ke wakifumania wanasameh tu wanahuruma.but in general ukifumania wife/husb no msamaha me yanaishiaga hapohapo.
 
....nimeshalipa mbona tena siku nyingi? Haya hebu tuongee kule faragha :) mie huwa sipendi kukaa na madeni.

Hahahaha BAK wewe ndio unanidai mimi, ngoja nijipange alafu ntakuibukia.

BTT. . . .na wewe ni mmoja wanaosamehe?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom