Wabunge 2 toka zanzibar wametoa maneno makali, matusi na dhihaka dhidi ya Lisu. Lisu akasimama kuomba utaratibu lkn spika Anne Makinda kamzuia kasema tuvumiliane. Rai yangu kwa spika..next time Mbunge toka CDM au upinzani wowote exluding CUF akitoa maneno makali na matusi kama haya dhidi ya CCM naomba pia tuvumiliane.
<br />maneno yenyewe yakoje hadi yawe matusi? ningependa nijue
Wabunge 2 toka zanzibar wametoa maneno makali, matusi na dhihaka dhidi ya Lisu. Lisu akasimama kuomba utaratibu lkn spika Anne Makinda kamzuia kasema tuvumiliane. Rai yangu kwa spika..next time Mbunge toka CDM au upinzani wowote exluding CUF akitoa maneno makali na matusi kama haya dhidi ya CCM naomba pia tuvumiliane.
mpaka sasa wanaendelea kumuandama Tundu Lisu kwa kauli yake ya Raisi wa Kifalme
Unajua maana ya tuvumiliane? ni kwamba mama Anna makinda anaufahamu vizuri uwezo wa Wabunge wa chama chake ndiyo maana anaomba tuwavumilie tuu hawajui watendalo, lakini kwa wabunge makini wa CHADEMA hakuna haja ya kuwavumilia huwezi ukamvumilia mtu mwenye uelewa mzuri wa jambo unapohisi amechemsha kitu.Wabunge 2 toka zanzibar wametoa maneno makali, matusi na dhihaka dhidi ya Lisu. Lisu akasimama kuomba utaratibu lkn spika Anne Makinda kamzuia kasema tuvumiliane. Rai yangu kwa spika..next time Mbunge toka CDM au upinzani wowote exluding CUF akitoa maneno makali na matusi kama haya dhidi ya CCM naomba pia tuvumiliane.
Mbunge anatetea Zanzibar na kuonya "Mpuuzi' yeyote atakayejaribu kuifanya Zanzibar iwe inferior. - Hii lugha haina staha ndani ya Bunge
Mbunge mwingine kamponda waziwazi Waziri wa Sheria na Katiba kwamba sijui kasomea wapi ...na maneno mengine ya kukosa staha.
Hakuna juhudi ya kupunguza ukali huu ilizaa matunda... japo kuna wabunge kama Tundu Lissu..( aliyelengwa moja kwa moja na mipasho hiyo kwa kuitwa TUNDU LUSSU!) walisimama kutaka muongozo.
Haya ni kwa uchache...
Mh Spika kawataka wawe na uvumilivu..
<br />
<br />
Wamesema Tundu Lisu ni mpumbavu pia wana wasi wasi na elimu yake.
Una hakika...?Udaku umekusibu tu... wewe umeshaambiwa kuna mipasho...ukita details tumia lugha yenye staha badala ya kutafuta mipasho na wewe!
Kuna ukweli hapo mkuu.Unajua maana ya tuvumiliane? ni kwamba mama Anna makinda anaufahamu vizuri uwezo wa Wabunge wa chama chake ndiyo maana anaomba tuwavumilie tuu hawajui watendalo, lakini kwa wabunge makini wa CHADEMA hakuna haja ya kuwavumilia huwezi ukamvumilia mtu mwenye uelewa mzuri wa jambo unapohisi amechemsha kitu.
maneno yenyewe yakoje hadi yawe matusi? ningependa nijue
Naona nawewe unaendeleza dhalau kwa Pinda, hivi aliposema Zanzibar siyo nchi hukutilia maanani eeh?Jamani kwani kusema Ukweli ni tusi au kosa.
kama ni kosa kusema Ukweli basi waZnz kila siku watakuwa wakosefu. Kwani kutetea maslahi na kutambulika kuwa Znz ni nchi kamili tena ene mamlaka ndani ya muungano ni wajibu wa wawakilishi na wabunge wote wa Znz. Kwani wapo pale kuhakikisha Znz inasimama kama nchi ndani ya muungano na kuhakikisha hakuna dharau wala kejeli dhidi yake.
Hongereni wabunge kutoka Zanzibar.