Full mipasho bungeni

maneno yenyewe yakoje hadi yawe matusi? ningependa nijue

pole kwa nitakaowaudhi lakini yamesemwa kama ninavyokumbuka------
kwamba Tundu Lisu pengine haelewi maana ya ufalme kwa kuwa nchi inaendeshwa kidemokrasia (mbunge wa donge)
Tundu Lisu sijui alihitimu namna gani chuoni kwake
Tundu lisu ni wakili sijui anawakilisha vipi hao wateja wake
Tundu Lisu kwa zanzibar ina maana ambayo wazanzibari wanaelewa kwa hiyo wazanzibari wajue huyo ndiyo tundu Lusu kwa hiyo wasiwe na tabu
wanasema upuuzi huu ukizidi wataufanya usifike zanzibar utakuwa unaishia sehemu fulani ambayo ameitaja -----jina sijalikumbuka
mwingine anasema sidhani kama ni mtazamo wa kambi ya upinzani nategemea ni mtazamo wake ..............

nimeyataja bila mpangilio ili kwa wakati tofauti yamesikika hivyo

hayo ndiyo ninayokumbuka, yote hayo yalikuwa yanaumiza hasa kama ungepata nafasi ya kuwasikia wanavyoongea kwa hisia. Ilimlazimu Lisu kusimama mara kadhaa lakini spika akazuia kwa kauli kuwa tuvumiliane.
 
TUNDU LISSU kwa kizenji ni mdebwedo

Mbona Mwita unaremba? Tundu maana yake ni tundu a.k.a shimo, a.k.a mfereji na Lissu ni Masaburi. Sasa changanya na za kwako utajua maana ya Tundu lisu.
 
Wabunge wa znz kitu gani???shule ipo????au skuli??ati wabunge? wamshuru Nyerere,wanaongoza vitongoji leo wanajifanyamuch know,leteni cv hapa ubaoni tuwaone.
 
kuna mzenji kasema maana ya Tundu ni shimo,ss huyo mzee wa ulojo
alikuwa anamaana ya tusi gani,ila mm naona funga yake ni ya
kubadilisha ratiba ya kula,

Lakini kwa vile ameongea kimipasho ya zenji zenji nayeye anaitwa
Chombo mwakilishi wa jimbo la magomeni,kw watu wa pwani tunajua ukiambiwa chombo hicho
mfano Juma aaah!Hujui nichombo yule,chombo cha Hassan,
hapo ujue mtoto si riziki.
 
HOJA ILIYO HOT NI ILE INAYOHUSIANA NA SERIKALI YA ZANZIBAR ..NA SERIKALI YA MUUNGANO...Mbunge wa ZNZ analinganisha Muungano na ndoa..anasema "ukioa mke unaangalia ana sifa..na siyo huyu ana makalio makubwa au madogo."... hivyo udogo wa ZNZ si ishu....iheshimiwe.

Mh Tundu Lissu analengwa.....anaambiwa haelewi nini maana ya Urais wa kifalme! iTS REALLY HOT!
Sikusomea sheria,ila kwa uwelewa wangu sikutarajia yule Mbunge wa ZNZ atakuwa hajaelewa kuwa Tundu Lissu alikuwa anamaanisha nini kuhusu Urais wa kifalme angesikiliza Hotuba yake jana angejua nini alimaanisha juu ya uraisi wa aina hiyo!nasema amekurupuka!
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Chadema kwa kulalama. Basi nyie sasa muwe Spika.

Mbona amusemi mwongozo wa Mary Nagu na ana kommu maamuzi alikuwaje?

Au kunya anye kuku akinya bata uharo.

Poleni sana


Lakini wewe si ni mwarabu halafu mpemba mambo ya Watanganyika yanakuhusu nini? Kagawaneni mafuta yenu na karafuu zenu huko achaneni na sisi kabisa.
 
Kwa wale watu makini, nadhani mmeshajua kuwa hawa watu waliandaliwa kutoka jana, mbona wale wabunge waliokuwa wanauponda muungano sikuwaona wakichangia, kama ni kweli hawa wabunge walikuwa wanawakilisha sauti ya wazanzibar wote sasa hizi roho za kwanini juu ya muungano zinatoka wapi? Lakini msiwe na wasiwasi juu ya hili hivi punde mtayasikia mengine kuhusu huu muungano na ninawahakikishia hili
 
Na mwanasheria mkuu nae anang'ang'ania tindu lisu na yule wa zenji nao wamesahau kuwa wameolewa na magamba kwani si tunashida na muungano?

Hivi kuna faida zipi za kiuchumi, kijamii au kiusalama tunazopata watanzania bara kwa kuwa na muungano na zanzibar??. kwa maoni yangu hakuna faida yeyote isipokuwa ni hasara tupu.
 
Anaongea waziri wa sheriani kama anahutubia watoto wa chekechea,
na amejikita zaidi kukosoa bajeti ya waziri kivuli na kumuunga mkono
mchango wa chombo mwenzie.
 
Lakini wewe si ni mwarabu halafu mpemba mambo ya Watanganyika yanakuhusu nini? Kagawaneni mafuta yenu na karafuu zenu huko achaneni na sisi kabisa.

Ukisikia Paa............................
Vipi mwongozo wa Mary Nagu na Bi M Kommu? maamuzi yalikuwaje?
 
Namshukuru sana lissu na wabunge wengine walio umizwa na kauli
za wazanzibari lakini wakakaa kimya hadi mwisho.

Laiti kama ningekua mbunge na ningekua ndani leo,...
naimani ninge mchapa mtu ngumi tam kweli kweli.
 
Hivi kuna faida zipi za kiuchumi, kijamii au kiusalama tunazopata watanzania bara kwa kuwa na muungano na zanzibar??. kwa maoni yangu hakuna faida yeyote isipokuwa ni hasara tupu.
mkuu ni watanganyika...niongezee swali wazanzibar wameshaacha kuchoma maduka ya watanganyika kule kwao....au sasa hivi wanachoma baa tu
 
Hivi kuna faida zipi za kiuchumi, kijamii au kiusalama tunazopata watanzania bara kwa kuwa na muungano na zanzibar??. kwa maoni yangu hakuna faida yeyote isipokuwa ni hasara tupu.

Hayo ndo maneno ya kiume. Nini uamuzi wenu? mkiwa kama wadau wakuu na vinganganizi wa Muungano, nini maamuzi yenu? Fanyeni maamuzi mazito.
 
Sikujua Waziri Wa Sheria Selina KOmbani anaweza akapersonalise Hotuba ya Upinzani Kwa sababu nimeona anajibu vifungu kama vile anamsuta Tundu Lissu,Na yeye pia ana shaka na uwezo na wake wa ufahamu,staha na matumizi ya lugha,nadhani hilo la uraisi wa kifalme na kuita mahakama kuendeshwa kifisadi limemuuzi zaidi,amesema Tundu Lissu ni mchochezi kwa kusema wazanzibari sasa waangalie nafasi yao kwenye muungano,washiriki mambo ya muungano tuu
Kasema Tundu Lissu anaharaka kwa kuongelea mambo ya Katiba bila ruhusa yake anasema Tundu Lissu kapeleka mswaada wa Katiba wakati bado wizara wako kwenye mchakato,anatuonya watanzania tusije tukaingizwa mkenge na mtu mmoja kwa maana (Tundu Lissu ) kama ilivyokuwa kwenye mswaada
Mytake : Nimesikitishwa na kukasirishwa jinsi Selina Kombani anavyomshushia hadhi Tundu Lissu kwa kumuona si mtu wa kuaminika kwamba hotuba amejiandikia mwenyewe bila mawazo ya upinzani ,halafu kitendo cha waziri mwenye dhamana ya wizara kuwaunga mkono wabunge waliokuwa wanamtukana Tundu Lissu matusi ya nguoni kinaonyesha kwamba kama kawaida yao CCM walijipanga
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Lissu alishawatukana wazanzibari jana wakati wa hotuba yake, vipi mkuki kwa nguruwe eeeeh!
 
Back
Top Bottom