Fukuzafukuza CHADEMA: Josephine kama Mama Ruksa enzi hizo

Watanzania zao ni kuweka kichwani kila kitu wanacho ambiwa!
Vitu vingine nivya kufikiri kabla ya kujadili:


... Josephine...
In her SOCIAL LIFE i don't bother even wasting my energies & time to discuss her.... let her do it whatsoever she desires.... however .... In POLITICAL LIFE.... lazima Dr. Slaa atumie busara sana kumfundisha na kumkanya... of which akichelewa ATAMHARIBIA.....

She seems too vocal kisiasa.... akae pembeni amfuate mumewe as a supporter....

In few days ahead kichama akiingilia uongozi na ushawishi au watu wakimtumia ili wafanikishe kupata uongozi CDM au tetesi kama hizi za fukuza fukuza ITAMCHAFUA Dr. sana.... akae pembeni kisiasa....
 
Mkuu ni kweli linaweza kuwepo tatizo sikatai kabisa,tatizo ni jinsi mnavyotoa ushauri si kwa namna ya kujenga kabisa.Chadema ni taasisi kwanini kumshambulia Dr Slaa tena kupitia mkewe bila kuishambulia Kamati kuu yenye vichwa kibao?
Unadhani kwanini wengine hatusemi hatumtaki Kikwete bali CCM yote imeshindwa kazi? Ujumbe wako umeuandika kichuki kabisa ni si kusahihisha Chama.Maamuzi yote ya chama yamepitishwa na hao hao akina Zitto Kabwe na wengine mkuu wangu nao wameshikwa masikio na Josephine?

Kwanza niseme kabisa kwamba mimi sio mfuasi wa chama chochote kile cha siasa.

Lakini tukirudi kwenye mada husika,GR ni mtu ambae amekua akileta habari za uhakika sana humu JF. Fact hii inanifanya niwe na mitazamo tofauti juu ya topic yake.

1. Yeye ni nani ndani ya chadema?in fact hawezi kua mtu mdogo mdogo tu kwani inaelekea ana yajua mengi......

Kwanini Josephine amehusika na fukuza fukuza huko Mwanza?

Je, aliye kua meya ni ndugu yake?,....na Je,Dr.Slaa ndio mtu mwenye uamuzi wa mwisho kwenye kamati kuu?

Na je, ni kweli ikiitwa kamati kuu,wajumbe wote hua wanaenda au ni Dkt. Slaa peke yake anae kaa na kutoa maamuzi?

2. Kama haya ni kweli, kwanini viongozi wa CDM ambao wanaumizwa nayo hawasemi? ....mbona hata hao walio fukuzwa hawasemi haya?

Aghr, Siasa bwana.
 
GR, unaleta ukosoaji wa mama Chadema humu kwa kumsingizia 1STL2BE!?. We subiri tuu, utapata habari yako!.

NB, by the way, siku nazungumza na Dr aliponieleza msimamo wake (off the record) kama atagombea urais 2015 au laa, Ubavu wake, Mama Chadema, alikuwepo na alisema ...(off the record)!.

Na wewe una muogopa Dr.Slaa saivi hana cheo chochote kikubwa serikalini?
Ikitokea akawa raisi si hautaandika kabisa.

Huu ni unafiki,sema au kaa kimya milele.
 
Mkuu wangu Matola,

Hoja dhaifu sana kwa suala la msingi na lenye utata kama hili unafanya mzaha wa kahawa. Unaifahamu CDM kwenye magazeti. Tenga muda kidogo wa utafiti (udhaifu mkubwa wa watanzania) Utakayoyabaini yatakusaidia kuthubutu kama hivi kuinusuru CDM, Si ushabiki usio na tija


Umeombwa utoe source of your information then you have kept beating about a bush. We need fact findings here so that we can be able to argue the point. Show us the realibility, liability, objectivity and methodology of your research nasi tutakwamini lakini wewe umezidi kusema subira subira......Kumbe ni kitu cha kusubiri then sio reliable maana na Waingereza wanasema "one swallow does not make summer"
 
Pili orodha ya (list of shame) aliyoisoma Mwembeyanga alipewa tu na Zitto aisome, Zitto ndie aliyoitafiti na kuiandaa.

Na hata kusoma alikataa kwa madai kwamba anaogopa Mbowe ndio aliyemwambia acha uoga lazima uisome hii list, yeye kama yeye alikuwa hataki kabisaa!
TUNTEMEKE kwanza nikukaribishe tena JF maana umekuwa ukichezea ban mara kwa mara, labda ni kutokana na tabia yako ya kutokuwa mkweli pamoja na kutumia maelfu ya IDs.

Lakini nikirudi kwenye hoja yako, kama kweli zitto ndiye aliandaa ile list of shame alishindwa nini kuisoma yeye mwenyewe? kwa namna ninavyomfahamu zitto asingeweza kufanya ajizi kama ile, kwamba afanye yeye utafiti halafu amuachie mtu mwingine ajichukulie ujiko? thubutu.

Katika hilo hilo, assuming kwamba ni kweli zitto ndiye alifanya utafiti na kuandaa hiyo list of shame, unadhani ni kwanini mwenyekiti mbowe alimshinikiza Dr. Slaa aisome hata baada ya kuonyesha uoga? hadi hapo huoni maelezo yako ni ya kuungaunga na hayana ukweli wowote? hadi hapo bado una uthubutu wa kusema zitto ndiye kiboko ya mafisadi? yeye si ni mtaalamu wa kutishia? mara ngapi ametishia kuwataja mafisadi wenye vijisenti huko uswisi? mwambie basi ajitahidi wakati huu awataje ili angalau tuone kwamba ana uthubutu wa kupambana na mafisadi wa ccm.
 
Last edited by a moderator:
usahihisho tu hapo, posho ya slaa kwa siku awapo nje ya dar ni kama ifuatavyo
1. hotel 280,000/= kwa siku
2. pocket money 200,000/=kwa siku
3. house girl rum 150,000/=kwa siku (ili amtunze mjuu kuu wake junior) wakiwa site
4. posho ya mama(josephine) 200,000/kwa siku
jumla kuu laki 750,000/= kwa siku. hii ni kwa mujibu wa dkt slaa mwenyewe.
ambapo mpiga tarumbeta mkuu wa chama na mpishi mkuu wa majungu wa chama bwana benson masala makali kigaila na mwita mwikwabe waitara wao kila mmoja analipwa 40,000/= arobain elfu kwa siku ambapo
1. hiyo hiyo alipie hotel
2. hiyo hiyo aache nyumbani
3. hiyo hiyo anunue chakula
4. hiyo hiyo aweke akiba.

hakuna kulala mpaka kieleweke.
peoplez power

sasa hii sio haki mkuu.yaani arobaini elfu hawamfikii hata posho ya housegal?.
Huyo mwita ndo huyu aliemo humu au ni majina yanafanana.?
 
Yani kwa kufikiri tu ukiona kichwa cha habari cha gazeti kimeandikwa "YADAIWA" ujue habari hiyo haina uhakika wala ushahidi pengine unaweza usipoteze muda kununua gazeti husika!

Eti mtu anataka tujadili hoja ya "yadaiwa ana ushawishi"

kwa nini na mimi ni siseme yadaiwa hii ni habari ya kupikwa asubuhi na mapema?
 
Watanzania zao ni kuweka kichwani kila kitu wanacho ambiwa!
Vitu vingine nivya kufikiri kabla ya kujadili:


Umesema vyema Ruta ule msemo wa "no research no right of speech naona umekuwa msamiati wa Watanzania. Lakini it's very unfortunate and disgusting even JF has invaded by such people. I reserve my word that I want to call them. Lakini tunahitaji kuwa waangalifu wana JF maana mada zikiletwa zikiwa so prejudiced and biased kama hii hata kama kuna chembe kidogo ya ukweli itabaki kuaminiwa na wale wambea wasiopenda kusumbua bongo zao ndio madodoki kila wasikiacho wanameza
 
Eliah G Kamwela says thanks for this very banful post;mods wakulaze salama pema peponi kwenye server zao.
hivi siku hizi umeacha kuwatumia wanachama wanaompinga mumeo meseji za vitisho vya kitoto?. mana tangu salia akuchane live hujasikika tena. hebu tuambie bado unaendelea kumuita mumeo rais na baba wa kila mtu au vipi?. kisha tueleze yule mtoto uliyezaa na kagenzi anaendeleaje.
 
usahihisho tu hapo, posho ya slaa kwa siku awapo nje ya dar ni kama ifuatavyo
1. Hotel 280,000/= kwa siku
2. Pocket money 200,000/=kwa siku
3. House girl rum 150,000/=kwa siku (ili amtunze mjuu kuu wake junior) wakiwa site
4. Posho ya mama(josephine) 200,000/kwa siku
jumla kuu laki 750,000/= kwa siku. Hii ni kwa mujibu wa dkt slaa mwenyewe.
Ambapo mpiga tarumbeta mkuu wa chama na mpishi mkuu wa majungu wa chama bwana benson masala makali kigaila na mwita mwikwabe waitara wao kila mmoja analipwa 40,000/= arobain elfu kwa siku ambapo
1. Hiyo hiyo alipie hotel
2. Hiyo hiyo aache nyumbani
3. Hiyo hiyo anunue chakula
4. Hiyo hiyo aweke akiba.

Hakuna kulala mpaka kieleweke.
Peoplez power

mbona kiduchu kwa rais mtarajiwa
 
Umeombwa utoe source of your information then you have kept beating about a bush. We need fact findings here so that we can be able to argue the point. Show us the realibility, liability, objectivity and methodology of your research nasi tutakwamini lakini wewe umezidi kusema subira subira......Kumbe ni kitu cha kusubiri then sio reliable maana na Waingereza wanasema "one swallow does not make summer"

Absence of evidence is not EVIDENCE OF ABSENCE.
 
Mkuu nakuheshimu sana lakini nasikitishwa na jinsi unavyotaka kiupotosha jamii!hivyi wale madiwani walifukuzwa na kamati kuu ya CHADEMA au Dr slaa?
Uwezi jua isije kuwa mama ndie alieleta shindikizo Dr akalishaiwi baraza na likafanya kweli.Usiahau panapofuka moshi ujue kuna moto
 
Kwa hiyo ulitaka awe na nani?
Makosa yapi mbona hauja yahainisha hapa?
Nani kasema kama slaa ndio rais mpaka useme josephine hafai kuwa firstlady?

Nani ana faa?
Habari za kusema nilisikia mahala ndio hizo tunazikataa, weka habari na ushahidi.

Kama jf itakuwa ni sehemu ya kumaliza chuki zetu haitaleta maana! Mambo yanayo semwa mitaani bila ushahidi ni mengi sana kwa hiyo kila mtu akiyaleta nadhani hapa hapata tosha.



Hivi Josephine hana kazi za kufanya?

Nahisi anatumiwa kwa sababu amejaa tamaa, kuna mambo yalisemwa mahali fulani juu yake niliona aibu sana, huyu mama hafai kuwa first lady, anatia aibu mwenendo mzima wa mabadiliko, hajielewi ni mtu muhimu sana?

Nahisi Dr Slaa alifanya makosa makubwa yatakayo leta matatizo siku za mbele, yupo kama watu wa magamba hana tofauti, ndivyo alivyo
 
Ex Padri mzee slaa nakukumbusha tu ya mgoswe... Penzi kitovu cha uzembe
1. JK - Mwenyekiti
2. Salma JK - Mjumbe NEC
3. Ridhiwani - Mjumbe NEC
4.................
5..................

Sultani mpya wa Tanzania.
 
Mwita Maranya

Ukweli kuhusu mshumbusi unaujua fika ila sema utafanyaje maana na wewe kale karuzuku kanakulipa mshahara kama mkurugenzi!
Unaogopa yasije yakakukumba kama yaliyomkumba ndugu yako Mwigamba. Na wakati huo huo unategemea Slaa akusaidie kule Tarime maana ngoma nzito ile.
Sijui atafanyaje maana Heche kaamua kuwa msukule wa huyo huyo Slaa ili nae amsaidie jimboni 2015, lakini pia ili asikate kale kamshahara anakomlipa ka sh laki saba kinyume cha katiba!

Hadi hapo sina sababu ya kuamini chochote unachoandika hapa kwani unajitahidi sana kuungaunga vistory na kuvichanganya na vitu ambavyo viko obvious ili uwakamate wale wasiotumia vizuri bongo zao kuchambua mambo.

Mimi ni mtu mwenye shughuli zangu zinazoniweka mjini, baadhi ya wanaJF tuliopata kufahamiana beyond keyboards wanalijua hili. Na zaidi ya yote mimi ninajitolea kukiwezesha chama kutekeleza majukumu yake ya kisiasa jimboni Ukonga ambapo ndiko makazi yangu yalipo kwa sasa, kwahiyo huyu tuntemeke amedhihirisha hapa pasipo shaka kwamba habari anazotuletea hapa huwa anajitungia tu na kuzileta hapa kwa malengo anayoyajua mwenyewe.

Nilishawahi kusema hili na leo narudia tena kwa faida ya wanaJF wote; kwanza mimi si afisa ama mtumishi wa Chadema makao makuu kama anavyopotosha hapa TUNTEMEKE bali mimi ni mwanachama imara na mwaminifu wa Chadema. Pili, mimi si mkazi wa Tarime (kwa maana ya origin)bali uwanja wangu wa nyumbani ni wilaya ya Serengeti, na kama nikifikiria kuwania ubunge basi jimbo la Serengeti ndipo mahali muafaka kwangu kujitupa ulingoni.
 
Last edited by a moderator:
Kazi imeiva, mapandikizi mpo mzigoni, lakini mbio za sakafuni hizo. Peleka kwa Shigongo hiyo lazima upate hela ya supu mkuu.

Chama kipo imara na hakitayumbishwa kwa propaganda za kike hizi.
 
Kabla hatujakwenda mbali unaweza kunieleza Josephine ana cheo gani CHADEMA?

Na kwa faida ya wengi unaweza kutupa hapa mezani majina ya kamati kuu ya Chadema? Ili kuanzia hapo tuone kumbe kamati kuu ya Chadema si lolote kama Mwanamke mmoja anaweza kuongoza maamuzi licha ya kwamba si mjumbe?

Naomba tuanzie hapo kwanza ili tupembuwe pumba na mchele.

Hoja ya muhimu sana hii.
 
Nilishawahi kusema hili na leo narudia tena kwa faida ya wanaJF wote; kwanza mimi si afisa ama mtumishi wa Chadema makao makuu kama anavyopotosha hapa TUNTEMEKE bali mimi ni mwanachama imara na mwaminifu wa Chadema. Pili, mimi si mkazi wa Tarime (kwa maana ya origin)bali uwanja wangu wa nyumbani ni wilaya ya Serengeti, na kama nikifikiria kuwania ubunge basi jimbo la Serengeti ndipo mahali muafaka kwangu kujitupa ulingoni.
You only wasting Ur time talking with Ghost, Tuntemeke is dead snake huna sababu ya kuchukuwa fimbo kumchapa nadhani this people mpaka sasa hawajielewi na wala hawajui nguvu ya Umma ni nini!!

Wengi hatuna haja na kadi za vyama wala kushinda kwenye corridor za vyama vya siasa kupika majungu na kutengeneza makundi ya kugombea madaraka na kusaidiwa visenti vya kusogeza siku.

Ndio maana nilichogunduwa mimi hapa JF mtu yeyote imara usiyeyumbishwa na propapanda uchwara za maji ya chooni ni lazima uambiwe wewe ni mfuasi wa Mbowe au Slaa, hili linanishangaza sana, vijana bado wadogo wanashindwa kutafuta vishughuri vya kuwapatia kipato badala yake wanatumiwa zaidi ya condom.

Nadhani sasa hivi kwa nyinyi ambao ni wanachama wa hivi vyama ni lazima muongeze kipengele cha kila anayetaka uongozi kuanzia ngazi ya tawi ni lazima aoneshe chanzo cha mapato yake au tuseme source of income. siasa za waganga njaa sasa imetosha.
 
Back
Top Bottom