Fukuzafukuza CHADEMA: Josephine kama Mama Ruksa enzi hizo

Hadi hapo sina sababu ya kuamini chochote unachoandika hapa kwani unajitahidi sana kuungaunga vistory na kuvichanganya na vitu ambavyo viko obvious ili uwakamate wale wasiotumia vizuri bongo zao kuchambua mambo.

Mimi ni mtu mwenye shughuli zangu zinazoniweka mjini, baadhi ya wanaJF tuliopata kufahamiana beyond keyboards wanalijua hili. Na zaidi ya yote mimi ninajitolea kukiwezesha chama kutekeleza majukumu yake ya kisiasa jimboni Ukonga ambapo ndiko makazi yangu yalipo kwa sasa, kwahiyo huyu tuntemeke amedhihirisha hapa pasipo shaka kwamba habari anazotuletea hapa huwa anajitungia tu na kuzileta hapa kwa malengo anayoyajua mwenyewe.

Nilishawahi kusema hili na leo narudia tena kwa faida ya wanaJF wote; kwanza mimi si afisa ama mtumishi wa Chadema makao makuu kama anavyopotosha hapa TUNTEMEKE bali mimi ni mwanachama imara na mwaminifu wa Chadema. Pili, mimi si mkazi wa Tarime (kwa maana ya origin)bali uwanja wangu wa nyumbani ni wilaya ya Serengeti, na kama nikifikiria kuwania ubunge basi jimbo la Serengeti ndipo mahali muafaka kwangu kujitupa ulingoni.

Mkuu unapoteza tu mda wako kuendelea kumjibu huyu mgonjwa TUNTEMEKE,
 
Hivi kwa nini NtuNTEMEKE, anapigwa ban?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mie utanionea bure mleta huu uzi ndio kasema mengi.
lazima utafakari kwa kina kabla hujachangia kwa maana unaonekana wewe ni kama aliyeandika huu mpasho
Kuwa makini kwa muhtasar tu CDM si mumebwege kinaongozwa kwa kanuni na taratibu zake acheni kutunga stori za kitoto na mawazo mgando ntawatia ndimu mimi
 
Ghost Ryder acha pumba zako. Eti CDM kupata ubunge Mwanza 2015 itakuwa mbinde? Nimetoka Mwanza last week, Wenje anakubalika kuliko Lema Arusha mjini. Anapaki Toyota Landcruizer anatembelea vijiwe vyote kwa mguu na kuacha wekundu wa soda na kahawa. Yaani Mama lishe na wajasiriya mali wanamwona kama Mesaya wao. Kaka no research, no right to talk/comment. Kalagabaho Best
 
Uwezi jua isije kuwa mama ndie alieleta shindikizo Dr akalishaiwi baraza na likafanya kweli.Usiahau panapofuka moshi ujue kuna moto

Kama ni kushawishi hiyo ni issue nyingine,na siwezi kumlaumi aliyeshawishi bali lawama zangu nazipeleka kwa aliyeshawishiwa na kushindwa kujua lipi ni jema na lipi ni baya!!!
 
Mama Josephine ana hisa JF nini?

Mbona akitajwa watu wanakula BAN?

Nimewai kumsoma member mmoja humu humu ndani, alisema kwa namna moja ama nyingine ni miongoni mwa mamod's.ila sina uhakika za kuambiwa changanya na zako.
 
mleta mada kuna haja ya kuundiwa tume huru, maana matusi yako ya kuhusisha CDM makini na mke wa mtu hapa hauna busara kabisa, kwani umedharau kamati kuu, inaonyesha ulivyo na siasa za ushabiki bila kutumia akili katika kupambanua.
 
Kama ni kushawishi hiyo ni issue nyingine,na siwezi kumlaumi aliyeshawishi bali lawama zangu nazipeleka kwa aliyeshawishiwa na kushindwa kujua lipi ni jema na lipi ni baya!!!

Hapo kwenye lipi-Teyari madhara yasha tokea na kama madhara yametokea inabidi tukae chini tujadili jinsi ya kutibu sio bla bla tena,,
Na kwenye kutibu inabidi tujifunze na kuweka rekodi zetu sawasawa ili kisitokee kitu kama kile ikiwezekana tuweke sheria itakayo tubana na iwe funzo kwa wengine
 
Nimewai kumsoma member mmoja humu humu ndani, alisema kwa namna moja ama nyingine ni miongoni mwa mamod's.ila sina uhakika za kuambiwa changanya na zako.
Akili ndogo hizi haziwezi kuongoza akili kubwa, usivamie jukwaa kwa pupa kama unapenda kuwa moderator sema tukwambie na tukupe know how, yuko Members mwenzetu alikuwa ni Member kama wewe sasa hivi ni Moderator, sasa Josephine awe moderator kivipi halafu ajifiche? hizi ni akili za ubongo wa kuku hapa siyo siyo Facebook Groups mnapopeana kiholela Uadmins.
 
Ghost Ryder acha pumba zako. Eti CDM kupata ubunge Mwanza 2015 itakuwa mbinde? Nimetoka Mwanza last week, Wenje anakubalika kuliko Lema Arusha mjini. Anapaki Toyota Landcruizer anatembelea vijiwe vyote kwa mguu na kuacha wekundu wa soda na kahawa. Yaani Mama lishe na wajasiriya mali wanamwona kama Mesaya wao. Kaka no research, no right to talk/comment. Kalagabaho Best

Ni ya kweli hayo au majungu tu.?
 
lazima utafakari kwa kina kabla hujachangia kwa maana unaonekana wewe ni kama aliyeandika huu mpasho
Kuwa makini kwa muhtasar tu CDM si mumebwege kinaongozwa kwa kanuni na taratibu zake acheni kutunga stori za kitoto na mawazo mgando ntawatia ndimu mimi

Kwa hiyo mie ndio nimeanzisha huu uzi...mzima wa Ritz unazidi kukutafuna.
 
Last edited by a moderator:
quote_icon.png
By Japhet Mosi
Ghost Ryder acha pumba zako. Eti CDM kupata ubunge Mwanza 2015 itakuwa mbinde? Nimetoka Mwanza last week, Wenje anakubalika kuliko Lema Arusha mjini. Anapaki Toyota Landcruizer anatembelea vijiwe vyote kwa mguu na kuacha wekundu wa soda na kahawa. Yaani Mama lishe na wajasiriya mali wanamwona kama Mesaya wao. Kaka no research, no right to talk/comment. Kalagabaho Best
Ni ya kweli hayo au majungu tu.? Siyo majungu kama kuna Mdau aliyeko Mwanza atajibu hoja yangu. Madiwani waliofukuzwa chama walikuwa wanawavuruga na kuwagawa wanachama Mwanza ndiyo maana Kamati Kuu ikaamua kuwafukuza na siyo Josephine kama anavyodai Ghost Ryder. Hii thread yake inamfaa sana Erick Shigongo ili auze magazeti yake ya Udaku
 
Nimewai kumsoma member mmoja humu humu ndani, alisema kwa namna moja ama nyingine ni miongoni mwa mamod's.ila sina uhakika za kuambiwa changanya na zako.

Lazima itakuwa hivyo mkuu maana mmh naanza kuona mashaka huyu Tuntemeke kila akitia pua huwa anakula BAN!
 
Back
Top Bottom