Fukuzafukuza CHADEMA: Josephine kama Mama Ruksa enzi hizo

Mkuu unataka kutuambia Dr Slaa, alivyowafukuza Madiwani wa Mwanza, Matata na Chagulani, ni amri kutoka kwa mama Junior Josephine, mbona Mbowe anaendesha siasa zake peke yake, Dr Slaa jifunze kwa Mbowe unaingamiza Chadema.

wewe kapokee chako kwa Nape achana na chadema, wewe kwa umbumbu wako unaweza kumshauri mbowe au slaa??
 
Kwahiyo watu ambao hawana mke kama Zitto Kabwe tuseme anashauriwa na nani labda kama unadhani swali lako lina logic yoyote!?

Na je if this is a case mbona sijawasikia hata siku moja mkisifu mke wa Freeman Mbowe ambaye yupo out of politics kwa kumshauri vizuri mume wake na kuipandisha chati Chadema?

Young Man u need to apologize, huwezi kuchekewa na kujifanya unaipenda Chadema huku ukiitukana kamati kuu ya Chama, upuuzi huu hauvumiliki, Discipline comes first.

Mkuu, Matola

Tunakemea pale penye dosari, siku zote jambo ambalo si abnormal huwa halina mjadala. Kama tumebaini mambo kutokwenda sawa mjadala utaibuka tu. Sina hakika sana na Mke wa Mbowe wala status ya ZZK. Namzungumzia huyu anayetengeneza turufu ya maamuzi katika chama. Twende vema usipotoshe huu uzi kwa hamaki binafsi.

Halafu hoja haihitaji matusi na nguvu nyingi kuifafanua vielelezo tu vinatosha kuweka hadhi ya forum. Thanks MOD kwa kufuta hoja zote za matusi zilizoibuka hapa.

Beleive me mkuu kuna hoja nzito hapa hata kama una mapenzi na ushabiki mkubwa, tafakari tutatue tatizo si ushabiki
.
 
Acha hadithi za kuzima moto kwa jirani kwako kunafuka Moshi, Suala la Lema CDM ipo tayari kwa option yoyote na wala si hatima ya matokeo ya mahakama leo Mkuu.
 
Mkuu, Matola

Tunakemea pale penye dosari, siku zote jambo ambalo si abnormal huwa halina mjadala. Kama tumebaini mambo kutokwenda sawa mjadala utaibuka tu. Sina hakika sana na Mke wa Mbowe wala status ya ZZK. Namzungumzia huyu anayetengeneza turufu ya maamuzi katika chama. Twende vema usipotoshe huu uzi kwa hamaki binafsi.

Halafu hoja haihitaji matusi na nguvu nyingi kuifafanua vielelezo tu vinatosha kuweka hadhi ya forum. Thanks MOD kwa kufuta hoja zote za matusi zilizoibuka hapa.

Beleive me mkuu kuna hoja nzito hapa hata kama una mapenzi na ushabiki mkubwa, tafakari tutatue tatizo si ushabiki
.
Aisee wewe ni pasuwa kichwa na unatupotea muda bure, hii ni post ya tatu nakuomba utuwekee majina ya wajumbe wa kamati kuu hapa ili tuendelee na mjadala, kuna shida gani kama wewe ni mwanachadema? tunataka kuujuwa udhaifu wa kamati kuu nzima ndio maana tunaomba majina hapa, acha porojo na ngonjera.
 
Hivi ww viongozi wote ndani ya ccmafisi ni wazuri. Mbona hata siku moja uwezi hata kuwasema isipokuwa ukisikia cdm ni kama unawashwa vile. Umbea utakuua unaacha kwako kunawaka moto unakimbilia kuyasema ya jirani.

Jaribu kujiheshimu acha matusi ya rejareja,ina maana unataka kusema cdm wote ni wasafi?!wadanganye wachovu wenzio sio humu Jamvini.nonsence.
 
hivi siku hizi umeacha kuwatumia wanachama wanaompinga mumeo meseji za vitisho vya kitoto?. mana tangu salia akuchane live hujasikika tena. hebu tuambie bado unaendelea kumuita mumeo rais na baba wa kila mtu au vipi?. kisha tueleze yule mtoto uliyezaa na kagenzi anaendeleaje.

Hahahahahaha! acha ule ban,yaani umeshindwa kupitia profile yangu kujua ukweli?
 
Ritz fast responder when it comes to thread kama hizi!Bravo!:eyebrows:

Hata mimi nimeliona hilo. Utadhani mleta mada na Ritz wako meza moja, Ritz anasubiri tu mleta mada amalize ku-post, na yeye aweze ku-respond hapo hapo.
Hizi ndio ajira za JF. Ili ulipwe vizuri lazima ulete thread za kuiponda na kuikashifu Chadema.

Wana-CCM wangetarajiwa kufurahia 'makosa' ya Chadema, lakini ndio wanajaribu kuleta ushauri wa marekebisho !!!!
Hapo ndio utaona kuwa hayo 'makosa' hayapo huko Chadema. Ila wanajaribu kuyaweka ili yawepo.

Kama wewe ni mwajiriwa wa kuleta post hapa JF kama walivyo akina Ritz, Rejao, Mafilili, Tume ya Katiba, Chama, Zomba, na wengineo, utafurahia sana alichoandika mleta mada ili na wewe uweze ku-post na kuongeza 'ujira'.
 
Wewe utaishia kubeba mikoba ya Mbowe na Dr Slaa, kama tarishi na kupewa posho za bia na valeur.

ha ha ha laiti ungenijua? anyway ifunze kutoa mada ya akili! wewe ni gold member sasa mbona kila unachopost ni upuuzi na kinasakamwa na kila member?? mimi acha nibebe mikoba ya viongozi wanamapinduzi hata nisipolipwa kitu lakini wewe endelea kubeba ya mafisadi na kupokea hizo buku mbilimbili cku ya mwisho utalipa kila cent ya watanzania !
 
Mwita Maranya

Ukweli kuhusu mshumbusi unaujua fika ila sema utafanyaje maana na wewe kale karuzuku kanakulipa mshahara kama mkurugenzi!

Unaogopa yasije yakakukumba kama yaliyomkumba ndugu yako Mwigamba. Na wakati huo huo unategemea Slaa akusaidie kule Tarime maana ngoma nzito ile.

Sijui atafanyaje maana Heche kaamua kuwa msukule wa huyo huyo Slaa ili nae amsaidie jimboni 2015, lakini pia ili asikate kale kamshahara anakomlipa ka sh laki saba kinyume cha katiba!

Kwanini MODS hawampigi life ban huyu jamaa? Majungu yake yakufikirika sana!
 
Aisee wewe ni pasuwa kichwa na unatupotea muda bure, hii ni post ya tatu nakuomba utuwekee majina ya wajumbe wa kamati kuu hapa ili tuendelee na mjadala, kuna shida gani kama wewe ni mwanachadema? tunataka kuujuwa udhaifu wa kamati kuu nzima ndio maana tunaomba majina hapa, acha porojo na ngonjera.

Mkuu, Matola

U cant trigger my anger, I know how to deal with people of that thinking level. Sioni msingi wa Hoja yako ndio maana hata sijishughulishi kukujibu hilo swali Mkuu wangu, Hoja ya msingi hatuijadili Kamati kuu ya CDM, Hujastuka tu kwa nini sikujibu? Ni kwamba huijui unahitaji msaada au hiyo orodha ikitajwa itakupa mwanga kwa kuchanga mawazo yako. Kuijua au kutoijua hakuthibitishi uanachama wa mwanachama, wapo babu zetu kule matombo mpaka leo wanajua rais Nyerere na wanashabikia siasa.

Nasikitika kama hutakuwa na maelezo ya kufafanua hoja ya msingi nitalazimika kukupuuza rasmi na kusubiri hoja zenye mlengo wa kutanzua haya madai yanayoelekea kukitafuna chama
 
Mbona mimi nimeshakuupuza rasmi? unadhani kuna space kwenye ubongo wangu wa kujadili gossiping!! pole sana wazalendo wote saa hizi tumepiga kambi kwenye thread ya Lema kusikilizwa kwa rufaa yake, wewe baki na majungu yako hapa.
 
Maamuzi ya kuwafukuza si yalichukuliwa na kamati kuu?
Mleta mada,Josephine anaingia vipi hapo?
 
... Josephine...
In her SOCIAL LIFE i don't bother even wasting my energies & time to discuss her.... let her do it whatsoever she desires.... however .... In POLITICAL LIFE.... lazima Dr. Slaa atumie busara sana kumfundisha na kumkanya... of which akichelewa ATAMHARIBIA.....

She seems too vocal kisiasa.... akae pembeni amfuate mumewe as a supporter....

In few days ahead kichama akiingilia uongozi na ushawishi au watu wakimtumia ili wafanikishe kupata uongozi CDM au tetesi kama hizi za fukuza fukuza ITAMCHAFUA Dr. sana.... akae pembeni kisiasa....
 
Pasco,

Najua leo watanishangaa wengi sana Mkuu, ila hili ni kwa ithibati yangu binafsi na juhudi za kina, Kwa mabadiliko thabiti hakika wakuu watanivumilia tu leo, mwarobaini mchungu ila dawa.
Kuna tatizo ndani CDM lisipotolewa mapema mashabiki wengi watapoteza imani.
mkuu tusaidie kujua,wewe ni nani ndani ya cdm?
 
usahihisho tu hapo, posho ya slaa kwa siku awapo nje ya dar ni kama ifuatavyo
1. hotel 280,000/= kwa siku
2. pocket money 200,000/=kwa siku
3. house girl rum 150,000/=kwa siku (ili amtunze mjuu kuu wake junior) wakiwa site
4. posho ya mama(josephine) 200,000/kwa siku
jumla kuu laki 750,000/= kwa siku. hii ni kwa mujibu wa dkt slaa mwenyewe.
ambapo mpiga tarumbeta mkuu wa chama na mpishi mkuu wa majungu wa chama bwana benson masala makali kigaila na mwita mwikwabe waitara wao kila mmoja analipwa 40,000/= arobain elfu kwa siku ambapo
1. hiyo hiyo alipie hotel
2. hiyo hiyo aache nyumbani
3. hiyo hiyo anunue chakula
4. hiyo hiyo aweke akiba.

hakuna kulala mpaka kieleweke.
peoplez power

Na mimi nitagombania huo ukatibu mkuu
 
Ex Padri mzee slaa nakukumbusha tu ya mgoswe... Penzi kitovu cha uzembe
 
Back
Top Bottom