Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 64,214
- 114,910
Bro unaongelea lile bango la 7-2?Kamchoro tu hako, mashabiki wa simba ni akili kubwa kuliko wale utopian amphibians wasambazaji wa mabango.
Huwezi mkuta milionea anahangaika kusambaza mabango, Ila kina zero brain ndio wahangaikaji 😁