Mafundi mchundo utawajua tu.Spana hizo hapo, nenda wewe ukaitengeneze
View attachment 2975504
Wanavyojua kujibu majibu ya shombo kama Wana team vileSpana hizo hapo, nenda wewe ukaitengeneze
View attachment 2975504
Refa kilaza hakuna red ♦️ paleeeeClear Red kadi ile
Nimeshakujibu kuna mashabiki pangu pakavu tia mchuzi hao wanapatikana huko utopian amphibians.Nkuulize wewe shabiki wa simba ambae 60% ya brain yako iko occupied na yanga 🤣🤣🤣🤣🤣
Na wewe badae ukabebweBila kubebwa hawapati matokeo
Bado hamjasema.Ushindi mwingine mwembamba wa mchongo
Ubuntu bothooNimeshakujibu kuna mashabiki pangu pakavu tia mchuzi hao wanapatikana huko utopian amphibians.
Halafu kuna mashabiki wala biriani kwa pesa zao hao utawakuta unyamani pekee.
Umeelewa?
Bila mbeleko ya mwamuzi hii isingetokeaWamebana wameachia
Kama mbeleko ni rahisi kubebeka tuwaulize nyie mliposhindwa kumtoa Mashujaa waliokuwa pungufu tokea first halfBila mbeleko
Unafikiri wao hawaogopi kupigwa 5gUshindi mwingine mwembamba