FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

Kwa misimu takribani 6 mfululizo haijawahi kuwa shida kubwa kwa Simba kufuzu hatua ya robo fainali, ni wakati sasa wa kupambana kuitafuta nusu fainali na hata fainali yenyewe. Kila kitu kinawezekana kama mtani alisubiri kwa miaka 89 na wamefanikiwa kuingia hatua ya robo basi hata kwa Mnyama inawezekana hata kubeba hili kombe, tunalitaka sana.. Kila la kheir.. Leo mpira umetembea kwa maana ya kutembea!
 
Yaniiii yaniii kuna watu roho zitawatoka leo...na nguvu za kiume leo hawana....sijui watawambia nini wake zao..
Yanga imeingia robo fainali na mechi moja mkononi, Ahmed Ally ndiye alirukwa na akili Kwa Yanga kuingia robo na mechi moja mkononi tena mbele ya Mwarabu.
 
Back
Top Bottom