FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

Kati ya Simba na Uto nani apewee Mamelodi
emoji16.png
emoji16.png
Ahmed Aly ndo msemaji bora mpk sasa..hajapanic hajakata tamaa na hajazimia...
Hii ndio maana ya ukubwa.
Na ukubwa ni experience.
Simba haichagui wa kucheza nae,yoyote atakaeletwa tutakula nae.
Iloshacheza na mabingwa wa Afrika akina zamalek.shida Iko wapi.
 
Aliyeingia robo na mechi moja mkononi na aliyeingia mechi ya mwisho yupi Bora?

Anyway nyinyi ni wa kuwasamehe Tu mwenye timu muda huu anagonga cheers anasubili cheque ya CAF Tu.
Simba ni moja ya timu 5 kati ya 16 iliyofungwa mechi 1 au 0. Pia ni timu inayoongoza kwa goal difference kati ya timu za makundi yote. Mpaka hapo unaweza kujua nani ana takwimu mzuri.
 
Kwa misimu takribani 6 mfululizo haijawahi kuwa shida kubwa kwa Simba kufuzu hatua ya robo fainali, ni wakati sasa wa kupambana kuitafuta nusu fainali na hata fainali yenyewe. Kila kitu kinawezekana kama mtani alisubiri kwa miaka 89 na wamefanikiwa kuingia hatua ya robo basi hata kwa Mnyama inawezekana hata kubeba hili kombe, tunalitaka sana.. Kila la kheir.. Leo mpira umetembea kwa maana ya kutembea!
Na kwa haya matokeo confidence kwa Simba imapanda.na unapokua kwenye changamoto yoyote confidence ni dawa Bora kabisa.
 
Back
Top Bottom