NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,286
- 24,003
hizi raha na burudani mnazopata msimu huu ndo mwisho.Kuna donge flani hivi limekukaba kwenye koo
endeleeni kuwapasua, timu yoyote mnayokutana nayo nyinyi pasueni tu,endeleeni kupasua watu.
hizi raha na burudani mnazopata msimu huu ndo mwisho.Kuna donge flani hivi limekukaba kwenye koo
Na juzi tumepasua thimba jike.hizi raha na burudani mnazopata msimu huu ndo mwisho.
endeleeni kuwapasua, timu yoyote mnayokutana nayo nyinyi pasueni tu,endeleeni kupasua watu.
Huyu refa atakuwa Makolo tuLile goli la 3 mwamuzi alikuwa na sababu kweli ya kulikataa! Golikipa kajiangukia mwenyewe! Unapuliza filimbi!
This is unfair! Waamuzi wa Kibongo, acheni ujinga bhana!
Hama nchi! Kwa taarifa yako tuna misimu kama 10 hivi mfululizo ya kutetema.hizi raha na burudani mnazopata msimu huu ndo mwisho.
endeleeni kuwapasua, timu yoyote mnayokutana nayo nyinyi pasueni tu,endeleeni kupasua watu.
😁😁😁😁 Makolo watakuwa hawaamini ilikuwaje wakafungwa goli moja tu kwenye nusu fainali!What A Play Farid, Feisal, Sureboy Then Mayeleeeeeeeeee....
Akuna kitu kama icho acha kuota ndoto za alinacha.Hama nchi! Kwa taarifa yako tuna misimu kama 10 hivi mfululizo ya kutetema.
Arajiga huyo mkuu,asikisumbue ni kawaida yake Kwa YangaLile goli la 3 mwamuzi alikuwa na sababu kweli ya kulikataa! Golikipa kajiangukia mwenyewe! Unapuliza filimbi!
This is unfair! Waamuzi wa Kibongo, acheni ujinga bhana!
Hili goli limeenda shule, skonga, hadi university🔥🔥🔥🔥What a goal!!! 🔥🔥😬🔥
Unabishana na wenye nchi! Time will tell.Akuna kitu kama icho acha kuota ndoto za alinacha.
Jamani mtaonaje sasa mchezaji wenu mpya? Striker force 🤣🤣....yaani Mikia mnadhani kutangaza usajili leo mtavuruga ubingwa 🏆🔥🔥🔥🔥🔥TANESCO zimeni umeme hii nchi uhuru umezidi.