FT: NBC Premier League | Young Africans 3-0 Coastal Union | Mkapa Stadium | YANGA BINGWA

Mwanaume Ni Mmoja Tu NBC Premier League King Kele, King Mayeleee
IMG_20220615_202230.jpg
 
Second half Djuma anatakiwa kuwa makini. Anachelewa kurudi. Ni Bahati tu Vinginevyo Coast wangepata goli la mapema sana
 
Kiukweli karibia Wananchi wote wamecheza vizuri ndani ya hizi dk. 45 za kipindi cha kwanza! Ingawa kwenye zile dakika za mwanzo walianza kwa kucheza taratibu.

Kuanzia Dickson Job, Yannick Bangala, Khalid Aucho, Babu Kaju Sure Boy, Fei Toto, Fiston Mayele, Chiko Ushindi kwa mbali, na wote walio bakia; hakika wamecheza mpira mkubwa sana.

Tuwapige la pili, tucheze sasa show game. Shime Wananchi 💪

Mwaka wetu huu 🍻
 
Back
Top Bottom