FT: Ligi Kuu Bara | Tanzania Prisons 1-0 Simba SC | Uwanja wa Sokoine | Juni 26, 2022

Simba haijawahi kufurukuta achezapo na Tanzania Prisons away. Huu ndiyo ukweli mchungu. Hata msimu uliopita, ilifungwa kule Sumbawanga.
Simba kwa wajelajela huwa ni mdebwedo, wasipoangalia hata pale Mbeya huenda wakarudi na tren ya Tazara
 
huna cha kunielewesha mechi ya ligi unaleta story za CAF
Umesahau tulikoanzia, uliuliza kuwa mnacheza ili iweje?

Nikasema tunacheza Ligi Kuu ili kukufundisheni namna ya kucheza CAF, kwa maana maandalizi ya CAF yaanzia kwenye Ligi Kuu

Upo hapo?
 
Si
Umesahau tulikoanzia, uliuliza kuwa mnacheza ili iweje?

Nikasema tunacheza Ligi Kuu ili kukufundisheni namna ya kucheza CAF, kwa maana maandalizi ya CAF yaanzia kwenye Ligi Kuu

Upo hapo?
Mnatufundisha kwa kufungwa?

Samahani Wakuu,
Naomba Kujua Wafungaji wa mechi ya Yanga na Mbeya City.
Na Hadi sasa Nani anaongoza kwa Ufungaji NBC ligi
Yalifungwa na Makambo na Joseph Semuju upande wa Mbeya City

Vinara wa mabao ni Mpole na Mayele wote mabao 16.
 
Msimu huo ulikua mbayaaa hata sitaki kuukumbuka..ila.msimu huu aisee mpk bingwa apatikane patachimbika
 
Back
Top Bottom