FT: Kagera Sugar FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 12.05.2024

Hivi huyo Namba 9 wa Simba ni kwanini hafanyiwi sub ?
Au ndio mshika hirizi ?
Yeye na golikipa mara tatu anaishia kuutoa mpira nje.

Mechi ngumu sabu moja tu tena ya kumtoa kiungo mkabaji unategemea nini?

Simba kuna shida kubwa sana kuanzia benchi la Ufundi.
 
Ahmed Ally = Mohammed Saeed al-Sahhaf "Comical Ali" [Information minister during Iraqi war]
Comical Ali indeed! 😁😁😁

IMG-20240512-WA0070.jpg
 
Azam wakiipoteza hii nafasi nitawaona wapuuzi.
kibiashara zaidi, yanga na simba wakicheza club bingwa ni watu wengi sana wanalipia ving'amuzi vya azam kulikoni yanga na azam wakienda. kwa mantiki hiyo azam ubingwa wala nafasi ya pili hawana hesabu nao, wanajumuika tu
 
Hivi huyo Namba 9 wa Simba ni kwanini hafanyiwi sub ?
Au ndio mshika hirizi ?
Yeye na golikipa mara tatu anaishia kuutoa mpira nje.

Mechi ngumu sabu moja tu tena ya kumtoa kiungo mkabaji unategemea nini?

Simba kuna shida kubwa sana kuanzia benchi la Ufundi.
Benchi la ufundi tena? Kabla ya mechi dhidi ya Kagera si mlikuwa mnaimba wimbo mmoja kwa pamoja kuwa Mgunda apewe timu moja kwa moja.
 
Kwa timu hii ambayo kwa misimu mitano imekwamia robo nadhani ni muda muafaka kama nchi tupeleke timu nyingine cafcl na ni wakati mwafaka kwa Azam Fc. Simba wekezeni zaidi kwenye kombe la muungano na serikali na tff waendelee kuwaboreshea mazingira ya ushiriki wenu next time muanzie fainali kabisa maana Yanga na Azam watakuwa busy na michuano ya ndani ligi na FA so mtaanzia tu fainali na KMkM
 
Back
Top Bottom