FT | Al Merrikh 0-2 Young Africans | CAFCL Group Stage Qualifier | Pele Stadium, Kigali | 16.09.2023

Naona uwanja umetapika ni kama tupo Azam complex vile....
Hakika ni fahari Sana kua mwana Yanga
 
Kwa wale ambao hawapo kwenye tv zao ni kuwa muda wote Mpira unachezwa kwenye eneo la Al merreikh. Wanachofanya ni kujarib kupunguza kupigwa 5G
 
Back
Top Bottom