FT: CAFCL: Asas Djibouti FC 0-2 Young Africans SC | Azam Complex | 20/08/2023

Protect

Member
Apr 4, 2020
94
299
Screenshot_20230820_142645_Instagram.jpg


Updates

62' Mabadiliko Yanga: Wanatoka Mzize na Max wanaingia Moloko na Pacome

53: Asas FC 0-2 Yanga

52' Goaaaal: Musonda

Kipindi cha pili kimeanza

Halftime: Asas FC 0-1 Yanga

45' Asas FC 0-1 Yanga

25' Kadi ya njano: Mwamnyeto

Asas FC 0-1 Yanga

22' Goaaaal: Aziz Ki

20' Asas FC 0-0 Yanga

10' Asas FC 0-0 Yanga

5' Asas FC 0-0 Yanga


Mabingwa wa Tanzania, Young Africans almaarufu kama Yanga jioni hii wanaingia uwanjani kapambama na mabingwa wa Djibouti, Asas FC kwenye mechi ya hatua ya awali ya michuano ya CAF Champions League

Katika mechi hiyo itakayochezwa katika dimba la Azam Complex, Asas FC watakuwa wapo nyumbani na Yanga wakiwa ni wageni

Asas FC walichagua kutumia uwanja wa Azam kama uwanja wao wa nyumbani baada ya viwanja vya kwao Djibouti kukosa sifa za kutumika kwa mashindano haya

Mechi hii itaaanza kuchezwa kuanzia saa 11 jioni kwa saa za Afrika Mashariki
 
Back
Top Bottom