Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 5,638
- 11,538
Lolote baya liwakute wapigwe nne kuendelea.nawaombea utopolo lolote liwakute.
Lolote baya liwakute wapigwe nne kuendelea.nawaombea utopolo lolote liwakute.
Hahaha, nishaga-angalia games 3 kwa pamoja na zote zikaenda. Wale wa vibanda umiza ndio wanaweza kunielewa mzee. Akina ScarsHuyu jamaa anazingua, macho mawili utaangaliaje TV mbili kwa wakati mmoja? Au ana makengeza jicho moja ataweka tv ya Kigali na jicho la pili ataweka tv ya Ndola?
Mi nashauri tumlazimishe kwa nguvu achague kuangalia mechi moja tu maana tuna uhakika ana macho mawili na lazima aangalie mechi ya Yanga ya Mzee wa kuchomekea Max Nzegeli! Simba ni ndondo club for now papatu papatu fc haina mvuto na haijui boli na itakandwa 3-0 na goli zote zitapatikana dkk 20 za kwanza!
Kila la heri timu inayoipa heshima ukanda wa Afrika mashariki na kati kwasasa katika ulimwengu wa soka, Young Africans
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Hii circle imenikumbusha mpambano kati ya Charles Augustus Magnussen na Sherlock Holmes.Yanga hii iñavunja records zote, kiboko ya Al Ahaly ni Usmer Alger, tulipata matokeo kwao.
Kaa hapo hapo usikimbie jukwaa.wasudani leo watapigwa kama ngoma. kikosi cha yanga sio cha mchezo mchezo.
wengi hamuelewi hili. kuanzia saa sita na madakika ambayo huwa tunaiita mchana (which is a general word), ni muda wa adhuhuri. adhuhuri inaisha saa tisa kamili.
kuanzia saa tisa kamili hadi saa kumi na moja, inaitwa alasiri.
kuanzia saa kumi na moja hadi saa moja, inaitwa "jioni", na hiyo inamaanisha hilo ni "jio la usiku".
nendeni mkawafundishe na wenzenu. kwa bahati mbaya hata maprofesa wa kiswahili pale udsm watashindwa hili swali.
Hadi vibanda umiza huku wanaomba sauti iwe mechi ya Yanga, ile ya ndola eti iwe kimya kimyaukitaka kujua ukubwa wa Yanga, ni leo, kuna timu pale kigali na nyingine ndola. ila macho yooote ya watanzania yapo Kigali. sijui wengine mmelitambua hilo?