jaman naomben frequency na symbol rate ya channel ambazo kwa sasa zinaweza kupatikana kuptia ku band
Channel ten wamebadilisha freq na ambao hawajapata ni kama ifuatavyo
freq: 4065.505
Sr 2848
fec 2/3
pls ni vertical
kule kule Cband
kazi kwenu
kote mkuu ikiwa chn au juu
Hiyo lnb ya ku inafungwa vipi unatoboa ile ya c band ama unaibandikiza juu yake tafadhali nieleweshe mkuu na ni c band ya local ama ya aljazeera.
namaanisha ni juu ya local chnl,
kama we ulipandsha tena C ya aljaz hapo cna utaalam tusubir wanaopandshaga zaid ya mbili
kama wewe mkali wa frq,nipe za C2C,DTV,CTN,ZNB(TVZ)
Channel ten wamebadilisha freq na ambao hawajapata ni kama ifuatavyo
freq: 4065.505
Sr 2848
fec 2/3
pls ni vertical
kule kule Cband
kazi kwenu
DTV bado sana kurusha kwenye satelite ,TV ambazo zipo kwenye satelliite ya intersat 906 64 E ni ITV,EATV,CHANEL TEN,CAPITAL,TBC1,starTV,TV imani,TIM,TM2,tm1 TBN,JCTV zote ni bure for info contact 0656206129/o654405727 DSAT acredeted installer