Frequency mpya za Channel ten hizi hapa!

Shukria Mkuu hata mimi nina zaidi ya miezi siioni ngoja leo nikifika nyumbani milango ya jioni niweke nione. niliikosa ile tamthilia ya akina Maria angelas nafikir itakuwa iliisha kwisha.
 
Shukria Mkuu hata mimi nina zaidi ya miezi siioni ngoja leo nikifika nyumbani milango ya jioni niweke nione. niliikosa ile tamthilia ya akina Maria angelas nafikir itakuwa iliisha kwisha.

wapuuzi sana hao jamaa.hiyo tamthilia ya UNTAMED BEAUTY.waliikatisha kikatili sana tena ikiwa imefikia kwenye chorus.
 
Asante sana.
Nimeipata vzr. Watoto wanafurahia katuni saa 3 kama zamani.
Ukipata nyingine nzuri, tuwekee hapa
 
Nenda kwenye menu kisha instalation ingiza passward nenda kwenye manual seach ingiza fr kisha skan walete
 
Kwa kwali mambo ni mazuri saana sasa channel tenni kwa kwenda bele. Hebu tupe na za TBC1 kwani sijaipata bado hainekani.
 
wapuuzi sana hao jamaa.hiyo tamthilia ya UNTAMED BEAUTY.waliikatisha kikatili sana tena ikiwa imefikia kwenye chorus.
He hivi kumbe haikwisha ukwelii niliacha wameikatisha halafu nikafikiri wameirudisha ni vile tu mimi nilikuwa siioni channel 10 nikadhani iliisha kwisha. kweli hawa hawana tofauti na TBC na wao waliikatisha ile ya Ma Doudou na wakwe zake bila taarifa. Kweli wapuuzi.
 
nafikiri star tv ni 3656 kwa 2894 kama sikosei ukishindwa ni PM nikuelekeze njia bora ya kuipata kwa dish la futi 6 mengine si ya wazi sana lakini ipo hewani,mimi natumia dish la futi 6
 
nafikiri star tv ni 3656 kwa 2894 kama sikosei ukishindwa ni PM nikuelekeze njia bora ya kuipata kwa dish la futi 6 mengine si ya wazi sana lakini ipo hewani,mimi natumia dish la futi 6

Vp kwa sie tunaotumia decoder za Dstv inakubali?
 
freq: 4065.505
Sr 2848
fec 2/3
pls ni vertical

sasa hii kwenye strong naandikaje nipe mfano....empty head hap
 
Nakushukuru sana kwa kutushirikisha kwenye faida hii. Binafsi umenisaidia sana. Nakushukuru. Sasa mambo ni mazuri kabisa na iko safi.
 
sawa mkuu,jaman, msaada kenye tuta,nani amewahi ku set thaicom 5 @ 78'E?how do i set up na kwa freq zipi? manake nna 8ft solid dish na intelsat 906 ndo natumia kwa local channel
 
Back
Top Bottom