Alirudia sana maneno hayo Igunga, akisema CHADEMA wanafanya kazi ya Mungu.
Again, poor campaign advisement, CHADEMA kimepachikwa label ya chama cha kidini, haisaidii kuvua taswira hiyo kama kila hotuba ya Mwenyekiti inasisitiza anafanya "kazi ya Mungu, CHADEMA ni mpango wa Mungu." Kuna fumbo hapo? Mpango wa Mungu upi, wenye inclinations za kidini au wachambuzi wengine watajiuliza.
Ninaamini kabisa Dr. Slaa na JK waligawana kura za baadhi ya wananchi kwa misingi ya dini. Udini wa wananchi, sina hakika kama ulipaliliwa na CHADEMA na CCM wenyewe, sidhani, lakini udini wa wananchi uliathiri CHADEMA uchaguzi wa mwaka jana.
Mwenyekiti Mbowe, achana na mipango ya Mungu na kazi za Mungu. Tunaomba msisitizo wa mipango wa MUNGU
Wewe limbukeni kweli sasa ulitaka amtangulize shetani mbele au mwenzetu wewe ni mfuasi wa Shetani,bila kujari we ni mkristo wala mslamu wote tunamtegemea Mungu,ili Taifa liende vizuri ni lazima viongozi wamtangulize mbele.