Freeman Mbowe (MB) mahakamani tena Arusha

Nanyaro Ephata

JF-Expert Member
Jan 22, 2011
1,221
1,788
Wanajamvi,

Kesho mwenyekiti taifa chadema Kamanda Mbowe atasimama mahakamani kesho mjini Arusha,hii ni kesi iliyofunguliwa na waliokuwa madiwani,
Mshitakiwa wa kwanza ni Chadema na Mbowe ni mshitakiwa wa pili

Tunawaomba wanachama wote kujitokeza kwa wingi hiyo kesho kusikiliza mwendelezo wa kesi hii

Asante kwa taarifa mkuu, hata hivyo siku ya kesho nilishaiweka kwenye Diary yangu.

Mkuu, umesahau kufafanua sababu ya wana-CHADEMA kutakiwa kuja kwa wingi pale mahakamani.

Sababu ni kwamba Mbowe ni mshtakiwa wa pili kwenye hati ya mashtaka. Mshtakiwa wa kwanza ni CHADEMA.

Ndipo hapo Bw. Samson Mwigaba anasema huyo mtu anayeitwa CHADEMA hajulikani. Na kwa vile CHADEMA ni Chama basi kila mwenye kadi ya CHADEMA ni mwanachama.

Hivyo wito ni kwamba wote siku za kesi wafike mahakamani. Suala la uwezo wa mahakama kujaza wana-CHADEMA wote nchini hilo watajua wao mahakama na walalamikaji.

Source: TZ DAIMA

Kama kawaiiidaaa! Tutakuwa mahakamani na na tutareport live kama kawaida yetu!
Hakuna kulala mpaka kieleweke! Na ili kuweka mambo sawa, nitakuwa na kadi yangu mfukoni na nitafahamika kama mtuhumiwa namba moja!

Lazima tuonyeshe maana ya nguvu ya umma....

kamanda
nanyaro،kwa nini mbowe awe mshtakiwa wa pili na cyo mtu mwingine yeyote yule

Yeees, nchi hii inatawaliwa kwa kufuata misingi ya sheria. Tuiache sheria ifuate mkondo wake.

Wanajamvi,

Kesho mwenyekiti taifa chadema Kamanda Mbowe atasimama mahakamani kesho mjini Arusha,hii ni kesi iliyofunguliwa na waliokuwa madiwani,

Mshitakiwa wa kwanza ni Chadema na Mbowe ni mshitakiwa wa pili

Tunawaomba wanachama wote kujitokeza kwa wingi hiyo kesho kusikiliza mwendelezo wa kesi hii

ni lazima asulubiwe kwa makosa yake

kamanda

nanyaro،kwa nini mbowe awe mshtakiwa wa pili na cyo mtu mwingine yeyote yule

Mkuu hata mimi sijui,waliofungua kesi ndio wanajua,njoo kesho mahakamani,ili tujue

@ kwayu hawa madiwani walichemka mshitakiwa wa kwanza cdm mshitakiwa wa 2 freeman mbowe wala hawajamshitaki kwa wadhifa wake wamemshitaki personal na cdm hawajaainisha ni wathamini au wanachama wote

Similar Discussions

Back
Top Bottom