Freeman Mbowe: David Silinde ni Yuda Iskariote. Aliendesha siasa za utekaji Tunduma

seedfarm

JF-Expert Member
Feb 9, 2020
260
2,654
Akiwa mbele ya halaiki kubwa mjini Tunduma kwenye mkutano uliohudhuria na maelfu kwa maelfu ya watu Mbowe ameyaongea yafuatayo kwa kunukuu;

"Damu ya wana Tunduma itamlilia David Silinde daima kwa kusaliti CHADEMA na kuamua kumuamini mwanadamu (John Magufuli) badala ya kumuamini muumba wa mbingu na nchi.

"David Silinde yampasa atubu kwa imani yake kanisani kwa utekaji alioungoza kwa viongozi wenzake wa zamani CHADEMA ili kumfurahisha Magufuli.

"CHADEMA hawamhukumu Silinde, lakini damu na vilema vya watu vitamfuata na kumlillia kila kona mpaka pale atakapo omba msamaha kwa wana Tunduma."

Davide Silinde alipokelewa na Freeman Mbowe mwaka 2008 CHADEMA akiwa mwanafunzi wa mwaka wa pili Chuo Kikuu kafundishwa siasa za majukwaani.

David Silinde ni mtu aliyetoka familia fukara sana hivyo wana Tunduma walimpenda na kumuamini kuwa hataweza kuwasaliti kwa vipande vya fedha na kama kuna siku angewasababishia ulemavu wa kudumu ili kumfurahisha Magufuli.

Freeman Mbowe, "Silinde tulimnunulia nguo na viatu kwani hakuwa na uwezo kwa wakati huo ili autumikie umma wa wana Tunduma, lakini akaamua kuwa msaliti kwa kusaliti damu za maelfu ya wana Tunduma waliomsaidia kupata ubunge."

Freeman Mbowe akanukuu injili ya Mathayo kuhusu Yuda Iskariote kwa kununuliwa kwa vipande vya fedha akifananisha na Silinde aliyeamua kuuza utu wake na heshima yake kwa Magufuli.

Akikamilisha kwa uchungu hotuba yake iliyowaliza akina mama pamoja na familia waliofungwa na kutekwa na Bwana Silinde aliyoongoza genge la wahuni mjini Tunduma, Freeman Mbowe anasema, nanukuu;

"Familia za wote waliofungwa na kutekwa wapite mbele, naona kuna wengine walemavu kutokana na David Silinde. Msihofu wana Tunduma mlipigania haki na haki haitaenda bure daima, David Silinde kuna siku madhira aliyowatendea yatamrudia yeye mwenyewe kama hatawaomba msamaha wana Tunduma. Sisi wakristo tuna amini katika msamaha."
 
Silinde wakati anasoma udsm alikuwa na maisha ya chini.. ukweli chadema imemsaidia Silinde

Silinde na demu wake Mariam akiwa na ujauzito ( kwa sasa mkewe ) walikuwa na maisha magumu sana wakati wametoka kumaliza chuo udsm mwaka 2010 na kupanga gheto ubungo makuburi.

Baada ya chadema kumbeba silinde akashinda ubunge. Ndipo maisha magumu yakawa historia kwao
 
Akiwa mbele ya halaiki kubwa mjini Tunduma kwenye mkutano uliohudhuria na maelfu kwa maelfu ya watu mheshimiwa Mbowe ameyaongea yafuatayo kwa kunukuu

Damu ya wana Tunduma itamlilia David Silinde daima kwa kusaliti Chadema na kuamua kumuamini mwanadamu( John Magufuli) badala ya kumuamini muumba wa mbingu na nchi,

David Silinde yampasa atubu kwa imani yake kanisani kwa utekaji alioungoza kwa viongozi wenzake wa zamani Chadema ili kumfurahisha Magufuli

Chadema hawamuhukumu Silinde, Lakini damu na vilema vya watu vitamfuata na kumlillia kila kona mpaka pale atakapo omba msamaha kwa wana Tunduma

Davide Silinde alipokelewa na Freeman Mbowe mwaka 2008 Chadema akiwa mwanafunzi wa mwaka wa pili Chuo Kikuu kafundishwa siasa za majukwaani

David Silinde ni mtu aliyetoka familia fukara sana hivyo wana Tunduma walimpenda na kumuamini kuwa hataweza kuwasaliti kwa vipande vya Fedha na kama kuna siku angewasababishia ulemavu wa kudumu ili kumfurahisha Magufuli

Freeman Mbowe, Silinde tulimnunulia nguo na viatu kwani hakuwa na uwezo kwa wakati huo ili autumikie uma wa wana Tunduma, Lakini akaamua kuwa msaliti kwa kusaliti damu za maelfu ya wana Tunduma waliomsaidia kupata ubunge

Freeman Mbowe akanukuu injili ya Mathayo kuhusu Yuda Iskariote kwa kununuliwa kwa vipande vya fedha akifananisha na Silinde aliyeamua kuuza utu wake na heshima yake kwa Magufuli

Akikamilisha kwa uchungu hotuba yake iliyowaliza akina Mama pamoja na familia waliofungwa na Kutekwa na Bwana Silinde aliyoongoza genge la wahuni mjini Tunduma, Mh Freeman Mbowe anasema

Nanukuu
Familia za wote waliofungwa na Kutekwa wapite mbele naona kuna Wengine walemavu kutokana na David Silinde, Msihofu wana Tunduma mlipigania haki na haki haitaenda bure daima, David Silinde kuna siku Madhira aliyowatendea yatamrudia Yeye mwenyewe kama hatawaomba msamaha wana Tunduma, Sisi wakristo tuna amini Katika msamaha
Siasa za kishamba sana hizi .mbona yeye aliisalit kwa kumuingiza lowasa.mbona yeye kalambishwa buyu la asali.badala ya kuzungumzia hali mbaya ya uchumi unaenda kumsimanga mtu nyumbani kwake
 
Akiwa mbele ya halaiki kubwa mjini Tunduma kwenye mkutano uliohudhuria na maelfu kwa maelfu ya watu mheshimiwa Mbowe ameyaongea yafuatayo kwa kunukuu

Damu ya wana Tunduma itamlilia David Silinde daima kwa kusaliti Chadema na kuamua kumuamini mwanadamu( John Magufuli) badala ya kumuamini muumba wa mbingu na nchi,

David Silinde yampasa atubu kwa imani yake kanisani kwa utekaji alioungoza kwa viongozi wenzake wa zamani Chadema ili kumfurahisha Magufuli

Chadema hawamuhukumu Silinde, Lakini damu na vilema vya watu vitamfuata na kumlillia kila kona mpaka pale atakapo omba msamaha kwa wana Tunduma

Davide Silinde alipokelewa na Freeman Mbowe mwaka 2008 Chadema akiwa mwanafunzi wa mwaka wa pili Chuo Kikuu kafundishwa siasa za majukwaani

David Silinde ni mtu aliyetoka familia fukara sana hivyo wana Tunduma walimpenda na kumuamini kuwa hataweza kuwasaliti kwa vipande vya Fedha na kama kuna siku angewasababishia ulemavu wa kudumu ili kumfurahisha Magufuli

Freeman Mbowe, Silinde tulimnunulia nguo na viatu kwani hakuwa na uwezo kwa wakati huo ili autumikie uma wa wana Tunduma, Lakini akaamua kuwa msaliti kwa kusaliti damu za maelfu ya wana Tunduma waliomsaidia kupata ubunge

Freeman Mbowe akanukuu injili ya Mathayo kuhusu Yuda Iskariote kwa kununuliwa kwa vipande vya fedha akifananisha na Silinde aliyeamua kuuza utu wake na heshima yake kwa Magufuli

Akikamilisha kwa uchungu hotuba yake iliyowaliza akina Mama pamoja na familia waliofungwa na Kutekwa na Bwana Silinde aliyoongoza genge la wahuni mjini Tunduma, Mh Freeman Mbowe anasema

Nanukuu
Familia za wote waliofungwa na Kutekwa wapite mbele naona kuna Wengine walemavu kutokana na David Silinde, Msihofu wana Tunduma mlipigania haki na haki haitaenda bure daima, David Silinde kuna siku Madhira aliyowatendea yatamrudia Yeye mwenyewe kama hatawaomba msamaha wana Tunduma, Sisi wakristo tuna amini Katika msamaha
Akifika Tarime aseme pia nani alimmaliza Chacha Wangwe
 
Kila Ubaya utalipwa
 
Nanukuu
Familia za wote waliofungwa na Kutekwa wapite mbele naona kuna Wengine walemavu kutokana na David Silinde, Msihofu wana Tunduma mlipigania haki na haki haitaenda bure daima, David Silinde kuna siku Madhira aliyowatendea yatamrudia Yeye mwenyewe kama hatawaomba msamaha wana Tunduma, Sisi wakristo tuna amini Katika
Silinde alikua zero kabisa, CHADEMA ndio ilimsimamisha hadi akaota pembe, amuulize ni wapi alipo Juliana Shonza leo, anakimbia na kujificha. Anatembea kama digidigi
 
Ndio walivyo watu wengi waliotoka familia duni , hebu fikitia huyu alinunuliwa hadi nguo na Chadema , lakini akaamua kusaliti !
Tatizo la maskini wa kutupwa, kutokana na hali yake, ni vigumu sana kufahamu tabia yake kiuhalisia maana mengi anayafanya kwa nia ya kutafuta unafuu wa maisha.

Waulize watu waliowahi kuwa karibu na Bashite katika hali yake ya umaskini. Wanasema alikuwa mpole na mwenye kuwaheshimu watu kupindukia, kumbe haikuwa heshima, ilikuwa ni kujikomba ili apate maisha.

Tabia halisia ya Silinde itakuwa ni hiyo ya ujambazi wa kuteka na kuumiza watu.
 
Back
Top Bottom