Freeman Mbowe: David Silinde ni Yuda Iskariote. Aliendesha siasa za utekaji Tunduma

Mamluki David Silinde , mtu duni aliyeokotwa na Chadema akiwa hana lolote , ambaye alitunukiwa unaibu Waziri na Magufuli akishirikiana na watu wa Usalama kwa masharti , leo ametajwa hadharani mchana kweupe kwao Tunduma , kwamba ALISHIRIKI VITENDO VYA KUTEKA , KUTESA NA KUUA VIONGOZI WA CHADEMA TUNDUMA ILI KUMFURAHISHA MAGUFULI .

Hii si tuhuma ndogo ya kunyamaziwa na Jeshi la Polisi , Na hasa kwa vile imetolewa na MTU WA KUAMINIKA , FREEMAN MBOWE .

Itakuwa aibu na fedheha kubwa sana ikiwa Jeshi la Polisi litaacha kumkamata Silinde na kumhoji kuhusu jambo hili , uchunguzi huu waweza kufumua mambo mengi kuhusu masharti waliyopewa wasaliti wengine wakiwemo Mashinji , Slaa , Lijuakali , Nassari na wengine , je hawa nao wameteka na kuua wangapi ?

Angalizo : Kila Ubaya Utalipwa tu .
Ili uchunguzi ukamilike huyo aliyetowa taarifa ni lazima ahojiwe kwa kina!
 
Mbowe aache kufanya mahubiri. Yeye ni mwanasiasa na sio muinjilisti, mtume, padri, mchungaji au askofu.
With all the due respect to you Brother Yoda..

Silinde kama anaisahau CDM kwenye masha yake ya siasa he dont deserve sht.. nikwambie.. i was his class mate abd a friend najua how he became MP at just 26... usimtetee kwa madhaif pengine ya Mbowe
 
Mbowe ni nani mpaka aseme uongo akisharmtakiwa anaweza kuthibitisha hizo tuhuma?

USSR
 
Huyo mtoa taarifa ndiye anapaswa kutoka na kuisaidia Polisi.
Aeleze kwa kina alishiriki kwa kiwango gani?
Na alishirikiana na kina nani?
Pia aeleze ni kwa nini kama alijua hivyo,amekaa kimya mpaka kusubiri mkutano wa hadhara!

Vinginevyo Silinde nae afunguwe kesi ya Madai jinai ya kuchafuliwa jina lake!

Kila walipo wezi na wafanya magendo wengi,ndipo mahali Chadema inakubalika zaidi.
 
..Sasa ni afadhali viongozi hao wa Dini wakatoka hadharani na kumuombea msamaha Magufuli kulingana na kile alichotubu.

Ndugu JokaKuu maandiko (biblia) iko very crystal clear kuwa BAADA YA KIFO, NI HUKUMU YA MILELE..

Hakuna Askofu wala mchungaji wala shekhe awezaye kutubu kwa niaba ya mfu awaye yeyote..!

David Silinde (kama kweli alifanya hayo tuliyosikia leo) na kwa kuwa yuko hai (hajafa bado kama ilivyo kwa aliyemtuma kufanya uovu ule, yaani John P. Magufuli), basi yeye bado ana nafasi ya kutengeneza (kutubu makosa yake) na Mungu akamasamehe kabisa dhambi zake..

Lakini John P. Magufuli, Kwa sasa it's too late unless awe alitubu makosa yake mwenyewe kabla hajafa..!
 
Mbowe aache kufanya mahubiri. Yeye ni mwanasiasa na sio muinjilisti, mtume, padri, mchungaji au askofu.
Siasa za masimango mzee mwenzangu..anatumia hisia kuuteka umma badala ya sera, CCM waendelee TU kuiba kura,watz bado hawajawa tayari kujua nani anafaa kushika hatamu za nchi
 
Siasa za masimango mzee mwenzangu..anatumia hisia kuuteka umma badala ya sera, CCM waendelee TU kuiba kura,watz bado hawajawa tayari kujua nani anafaa kushika hatamu za nchi
Kweli hawana sera bali kelele za Magufuli

USSR
 
weka ushahidi hapa , Dereva aliyeendesha gari iliyopata ajali na kumuua Wangwe alihukumiwa kifungo jela , baadaye akaachiwa kwa Msamaha wa Rais Mkapa , unadhani kwanini aliachiwa ?

Msitufanye wajinga kwa kunyamaza , tunajua kila uchafu wenu wajinga wakubwa nyie .

Wewe wakati huo una miaka mitano ulijua kitu gani mnafiki wewe ?
Sumaye alipotaka kiti aliambiwa sumu haionjwi,hii inaleta fikra Fulani juu ya kifo Cha wangwe,lakini huo usaliti wa yuda kwa vipande vya fedha aliousema mbowe unamgusa nae,atubu,maana aliuza kiti Cha chama kugombea urais kwa vipande vya fedha anavyojua yeye idadi yake,akasaliti kusanyiko la mwembe yanga lililolaani orodha ya aibu(list of shame) ambayo 'fisadi' lowasa alikuwemo
 
Chadema wanasheria waende mahakamani badala ya kulialia kwenye majukwaa kutaka huruma

USSR
 
It is speculation from bogus politician, he can't even try to step up in court room

USSR
It's you who can't even dare to take him to the court of law bacause the evidence is crystal clear just before your faces................those hundreds of victims of his actions..!!

Don't you remember that the court of law couldn't convict them bacause of lack of evidence??

That is a justification that, there was no offences committed whatsoever rather the court was satisfied that their offences were merely "political motivated"..

The ruling is: SET ALL OF THEM FREE!!!

So, Freeman Mbowe is not stupid and ignorance as you are. P.

He is absolutely sure with what he says about your fellow big Chawa - David Silinde and his accomplices...!!
 
Sumaye alipotaka kiti aliambiwa sumu haionjwi,hii inaleta fikra Fulani juu ya kifo Cha wangwe,lakini huo usaliti wa yuda kwa vipande vya fedha aliousema mbowe unamgusa nae,atubu,maana aliuza kiti Cha chama kugombea urais kwa vipande vya fedha anavyojua yeye idadi yake,akasaliti kusanyiko la mwembe yanga lililolaani orodha ya aibu(list of shame) ambayo 'fisadi' lowasa alikuwemo
Hujui lolote
 
Nanukuu
Familia za wote waliofungwa na Kutekwa wapite mbele naona kuna Wengine walemavu kutokana na David Silinde, Msihofu wana Tunduma mlipigania haki na haki haitaenda bure daima, David Silinde kuna siku Madhira aliyowatendea yatamrudia Yeye mwenyewe kama hatawaomba msamaha wana Tunduma, Sisi wakristo tuna amini Katika msamaha
😅😅Mbowe anaongea kama Mtumishi wa Mungu
 
Back
Top Bottom