David Silinde kuhamishiwa Wizara nyeti ya Mifugo na Uvuvi ni kwamba Mbowe amefeli na Jaribio lake?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,138
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe juzi aliutangazia Umma kwamba Naibu Waziri pale Tamisemi David Silinde ni mtekaji na amewasababishia wananchi kadhaa vilema vya kudumu

Kabla Jimbi hajawika David Silinde amehamishiwa Wizara nyeti ya Mifugo na Uvuvi

Sasa huyu Mbowe hizi Taarifa za Utekaji amezitoa wapi

Au tuseme Mbowe amezungukwa na Washauri wazushi wazushi maana ni kama amelidanganya Taifa
 
Ulitegemea Mbowe akisema Mama amtoe Silinde kwenye uwaziri ili Mbowe apate sifa? Kwa CCM ipi? Kizuri ni kwamba nchi nzima tumemjua Silinde na upande wake wa pili. Silinde+Makonda+Wasiojulikana = Mauaji ya wasio na hatia.
 
Tuhuma bila ushahidi ni Uzushi!
 
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe juzi aliutangazia Umma kwamba Naibu Waziri pale Tamisemi David Silinde ni mtekaji na amewasababishia wananchi kadhaa vilema vya kudumu

Kabla Jimbi hajawika David Silinde amehamishiwa Wizara nyeti ya Mifugo na Uvuvi

Sasa huyu Mbowe hizi Taarifa za Utekaji amezitoa wapi

Au tuseme Mbowe amezungukwa na Washauri wazushi wazushi maana ni kama amelidanganya Taifa
CCM huwezi kumpata kiongozi aliye msafi, kuanzia chini hadi juu ni majizi matupu yapeana ullaji
 
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe juzi aliutangazia Umma kwamba Naibu Waziri pale Tamisemi David Silinde ni mtekaji na amewasababishia wananchi kadhaa vilema vya kudumu

Kabla Jimbi hajawika David Silinde amehamishiwa Wizara nyeti ya Mifugo na Uvuvi

Sasa huyu Mbowe hizi Taarifa za Utekaji amezitoa wapi

Au tuseme Mbowe amezungukwa na Washauri wazushi wazushi maana ni kama amelidanganya Taifa
Chadema ni chama cha wazushi na waongo. Hawana maswala ya maendeleo ila wao wanajadili watu tu. Mama anafikiri jpm alikosea ku limit siass za majukwaani kubakia wakati wa campaign tu. Ni kwa sababu majukwaani wapinzani wanabakia kuleta uchonganishi tu.
 
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe juzi aliutangazia Umma kwamba Naibu Waziri pale Tamisemi David Silinde ni mtekaji na amewasababishia wananchi kadhaa vilema vya kudumu

Kabla Jimbi hajawika David Silinde amehamishiwa Wizara nyeti ya Mifugo na Uvuvi

Sasa huyu Mbowe hizi Taarifa za Utekaji amezitoa wapi

Au tuseme Mbowe amezungukwa na Washauri wazushi wazushi maana ni kama amelidanganya Taifa

Umelewa asubuhi hii au?
Kutoka Naibu Tamisemi kwenda uvuvi ni kuondolewa nguvu?
Tamisemi ni lidude likubwa sana
 
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe juzi aliutangazia Umma kwamba Naibu Waziri pale Tamisemi David Silinde ni mtekaji na amewasababishia wananchi kadhaa vilema vya kudumu

Kabla Jimbi hajawika David Silinde amehamishiwa Wizara nyeti ya Mifugo na Uvuvi

Sasa huyu Mbowe hizi Taarifa za Utekaji amezitoa wapi

Au tuseme Mbowe amezungukwa na Washauri wazushi wazushi maana ni kama amelidanganya Taifa
Kwamba wizara aliyotoka, haikuwa nyeti? 🤷‍♂️🤷‍♂️
 
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe juzi aliutangazia Umma kwamba Naibu Waziri pale Tamisemi David Silinde ni mtekaji na amewasababishia wananchi kadhaa vilema vya kudumu

Kabla Jimbi hajawika David Silinde amehamishiwa Wizara nyeti ya Mifugo na Uvuvi

Sasa huyu Mbowe hizi Taarifa za Utekaji amezitoa wapi

Au tuseme Mbowe amezungukwa na Washauri wazushi wazushi maana ni kama amelidanganya Taifa

Kati ya Tamisemi na mifugo ipi wizara nyeti? Punguza kukurupuka.
 
Silinde kapunguziwa nguvu, uvuvi na mifugo vina nguvu Kanda ya ziwa, kwa hiyo atashindwa kuonyesha nguvu yake jimboni kwa kuwa hakuna ziwa Wala mifugo
 
CHADEMA hawana sera, wana Ajenda.
Ajenda yao ni ya kuchafua wote ambao walihama kutoka chama chao....wanajulikana, sina sababu za kuwaweka hapa.

Sera ameishaikataa Mwenyekiti na ni ile aliyoiita "Propaganda za Kitoto" ndio ilikuwa sera wanayoiuza wakat mmoja anauguza majeraha na mwingine anaonyesha akijibu tuhuma za ugaidi kwa vidole kwenye karandinga. Wametoka huko, wana hasira, wana visasi, wanaumuka na wamebaki na mihemeko tu!

Tuchague kwa uangalifu 2025
 
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe juzi aliutangazia Umma kwamba Naibu Waziri pale Tamisemi David Silinde ni mtekaji na amewasababishia wananchi kadhaa vilema vya kudumu

Kabla Jimbi hajawika David Silinde amehamishiwa Wizara nyeti ya Mifugo na Uvuvi

Sasa huyu Mbowe hizi Taarifa za Utekaji amezitoa wapi

Au tuseme Mbowe amezungukwa na Washauri wazushi wazushi maana ni kama amelidanganya Taifa
kuhamiswa wizara na kauli ya mwamba kunauhusiano?
 
Kwani walio iba pesa za plea bargain hawajujulikana? Mbona sasa ni majaji? He wezi wa kura mbona wanepewa ukatibu mkuu?? Huu ni upuuzi uliopo ndani ya serikali ya Ccm
IMG_20230210_003853_418.jpg
kumbushodawson_1675231123517421.jpg
 
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe juzi aliutangazia Umma kwamba Naibu Waziri pale Tamisemi David Silinde ni mtekaji na amewasababishia wananchi kadhaa vilema vya kudumu

Kabla Jimbi hajawika David Silinde amehamishiwa Wizara nyeti ya Mifugo na Uvuvi

Sasa huyu Mbowe hizi Taarifa za Utekaji amezitoa wapi

Au tuseme Mbowe amezungukwa na Washauri wazushi wazushi maana ni kama amelidanganya Taifa
Siyo kwamba Mbowe amefeli, bali wanaoumia ni watanzania, kwa kulindana kwa hawa viongozi wetu, just imagine unapenyeza taarifa nyeti ili serikali ifuatilie na ichukue hatua lakini wapi.

Sasa hivi hadi ofisi za kata, zimefanywa mahakama ya kufanya plea bargain kwa viongozi waliopiga mimba wanafunzi, mfano mzuri katika Wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita,kata ya Ikunguigazi WEO amefanya PLEA BARGAIN na kiongozi moja aliyempiga mimba mwanafunzi.

Je pesa za PLEA BARGAIN alizoingia na mtuhumiwa ziko wapi basi zikafanye maendeleo, ndani ya kata hamna, unawapenyezea taarifa nyeti bt wako kimya sio kulindana??
 
A
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe juzi aliutangazia Umma kwamba Naibu Waziri pale Tamisemi David Silinde ni mtekaji na amewasababishia wananchi kadhaa vilema vya kudumu

Kabla Jimbi hajawika David Silinde amehamishiwa Wizara nyeti ya Mifugo na Uvuvi

Sasa huyu Mbowe hizi Taarifa za Utekaji amezitoa wapi

Au tuseme Mbowe amezungukwa na Washauri wazushi wazushi maana ni kama amelidanganya Taifa
cha utahira wa akili hata kuota ndoto za mchana
 
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe juzi aliutangazia Umma kwamba Naibu Waziri pale Tamisemi David Silinde ni mtekaji na amewasababishia wananchi kadhaa vilema vya kudumu

Kabla Jimbi hajawika David Silinde amehamishiwa Wizara nyeti ya Mifugo na Uvuvi

Sasa huyu Mbowe hizi Taarifa za Utekaji amezitoa wapi

Au tuseme Mbowe amezungukwa na Washauri wazushi wazushi maana ni kama amelidanganya Taifa
Achana na Mbowe fuata mambo ya UWT
 
Back
Top Bottom