Freeman Mbowe awasili Mwanza tayari kuongoza kikao cha Baraza Kuu

Naona ukishindwa kujibu unatukana na hiyo ndo tabia ya mapopoma ya chadema mnamponza mpaka Kubenea anadhani kila kitu ni uhuni uhuni tu. Punguzeni viroba.
Mimi ikisema natukana wewe unafanyanini hapo lumumba au tutaje? Yule aliyetuita Malofa alitusifia?
 
Wewe ndie ambae unachomwa hapa huoni unavyohangaika kama mwali wa kimakonde?... Tulia bana humu hakuna waoaji kama vipi nenda MMU
Comment yangu isingekuchoma Kama pasi usingenikoti umesikia mtoto mzuri next time ujipange nataka hoja upopoma peleka chadema kwa wanywa viroba
 
Naona ukishindwa kujibu unatukana na hiyo ndo tabia ya mapopoma ya chadema mnamponza mpaka Kubenea anadhani kila kitu ni uhuni uhuni tu. Punguzeni viroba.

Tulia hivyo hivyo mama... taratibuuu sindano inakuingia umeanza kunena kwa lugha... haya sasa hapa Kubenea kaingiaje?
 
Back
Top Bottom