Freeman Mbowe awasili Mwanza tayari kuongoza kikao cha Baraza Kuu

Good and all the best Chadema ktk ubora wake...

Lumumba matumbo joto....hacheni kutumbuana hayo majipu ndo mtawakoma UKAWA....mtacheza mziki tunaoutaka sisi....
 
Naona ukishindwa kujibu unatukana na hiyo ndo tabia ya mapopoma ya chadema mnamponza mpaka Kubenea anadhani kila kitu ni uhuni uhuni tu. Punguzeni viroba.


Embu Tulia kwanza dada! Hapa tunaizungumzia nchi. Hakuna nafasi/muda WA taarab!
 
Comment yangu isingekuchoma Kama pasi usingenikoti umesikia mtoto mzuri next time ujipange nataka hoja upopoma peleka chadema kwa wanywa viroba

Ha ha ha ha... jenga hoja ujibiwe kwa hoja bidada... ukiandika upupu unajibiwa upupu vile vile...unajipitisha umerembua macho jukwaa la siasa teheeeee... huku sio saizi yako mama
 
Ha ha ha ha... jenga hoja ujibiwe kwa hoja bidada... ukiandika upupu unajibiwa upupu vile vile...unajipitisha umerembua macho jukwaa la siasa teheeeee... huku sio saizi yako mama
Nadhani umeona swali langu ungekuwa si popoma ungenijibu ila kwa kuwa popoma unaendelea kuonesha kiwango chako cha upopoma
 
Unaota mchana au ndio kuwanga huko? Naona unaingiza siku hapo buka saba inakuhusu leo meishiwa hoja kazi nikushtukiza na maigizo serekali ya Tv na Magazeti
Hayo yanakuuma vizuri Kama unatufuatilia. Jinsi gani tunakunyima raha.siyo Saba tu kumi kabisa maana aliwazalo mjinga ndilo litakalo mtokea
 
"Tayari mitandao yote ya kijamii,radio,televisheni na vyombo mbalimbali hapa nchini habari kuu ni Katibu mkuu mpya wa Chadema anayetarajiwa kujulikana Jumamosi wiki hii."

Mkuu Molemo asante...naongezea.

.....na atatangazwa hadharani Machi 13, kwenye mkutano mkubwa wa hadhara utakaofanyika katika Viwanja vya Furahisha, jijini Mwanza.
Na hapo(furahisha) ndipo mlipotuzuga kwamba Dr.Slaa atakuwa mgombea kabla Mbowe hajafika bei
 
Back
Top Bottom