Freeman Mbowe - Afanya maajabu Houston TX

Hivi hawa jamaa wa diaspora huwa wanapiga kura kweli hawa?
suala si kupiga kura bali ni mchango wa mawazo na vitendea kazi, hawa jamaa wamehaidi kutoa pikipiki 126 kwa chama, vitasaidia chama kwa kiasi kikubwa sana kufika vijijini hata ambako magari hayafiki, chadema kwa lazima ichukue nchi 2015.
 
Hivi siku hizi mambo yote ni kwa diaspora? Hivi ni kweli wanaenda kufungua matawi au wanasukumwa na posho na kutembea ughaibuni? Mipango ya diaspora kupiga kura ikoje ifikapo 2015 manake isiwe kufungua tu matawi lakini mwisho wa siku hao wanachama wanakuwa hawana maamuzi siku ya kupiga kura!

Kwa style yetu ya makelele bila akili; tusishangae sana isikumbukwe hadi kampeni za uchaguzi 2015 zinaanza....Ndipo utaanza kusikia kelele mpya toka ughaibuni kuwa WANANYIMWA HAKI YAO YA MSINGI YA KUCHAGUA VIONGOZI NCHINI KWAO....
 
Hivi siku hizi mambo yote ni kwa diaspora? Hivi ni kweli wanaenda kufungua matawi au wanasukumwa na posho na kutembea ughaibuni? Mipango ya diaspora kupiga kura ikoje ifikapo 2015 manake isiwe kufungua tu matawi lakini mwisho wa siku hao wanachama wanakuwa hawana maamuzi siku ya kupiga kura!

Hili ni jambo la kuliangalia kwa undani sana,hawa ndugu zetu waliopo nje wanaguswa kweli na matatizo ya tz moja kwa moja ...kwa mini kubangua matawi UK na US na sio Tandahimba na KYOTERA.
 
wewe inaelekea umejifungia kwenye kibox kidogo au tayari umeshalewa falsafa za magamba kwamba kila anayetoka nje ya Tanzania ni kwa ajili ya posho au mambo binafsi! Kwanza uelewe lazima chama kijimbanue ndani na nje ya nchi na pia kuna mchakato mzima wa katiba na hili la watu walio ughaibuni kuruhusiwa kupiga kura kwenye balozi zetu au kwa njia ya mtandao litaingizwa so kamanda mbowe yupo kueleza itikadi na falsafa za chama nje ya Tanzania na kutafuta marafiki pia!!na kuhamasisha watanzania walio nje wenye kipato kizuri wawekeze Tanzania na wasaidie pia vuguvugu la M4C ili 2015 mambo yaende sawa!

Ha ha ha ha daaaaah kweli wajinga ni chakula cha wasomi...................eti kuwekeza nchini Haha haha ha haaha haaaaa........

Nyie ambao wengi wenu huko life ni kuunga unga ndo mje muwekeze huku.......give the poor Tanzanians a break please....mliamua kukaa huko na myamalize huko huko wenyewe kwa wenyewe......uwekezaji unahitajika kweli ila you are not of the capacity banaa
 
Usajili wa gari letu T2015CDM unaleta matumaini sasa yakusajiliwa na watanzania,hongera kamanda mkuu V SENGEREMA.
 
Wengi wajiunga Chadema, Mkusanyiko ulikuwa ni mkubwa sana kwa historia ya mwana siasa yeyote aliyewahi kutokea Houston TX . Mbowe awabadili Wana CCM na kuwa Chadema. Mbowe afanya Houston kuwa base ya CHADEMA na wanachadema watoa Pikipiki 126.

That is Great!
 
Utasikia machinery ya ccm ikiwatumia agent wao TRA watakavyogonga kodi kwenye Uingizaji wa hizi tukutuku. Nape atabuni kila liwezekanalo kukwamisha clearance ya mzigo huo bandarini. na pia naamini soon ataitisha tena press conf. kuzua la kuzua, km kawaida yake.
 
watu wengine bwana jimboni kwake hai kuna shida ya kila namna lakini yeye kiguu na njia kutafuta sifa kwa walowezi ambao hata kura huwa hawapigi

mm ni mkazi wa Hai tena kutoka kijiji cha Mungushi........ hayo matatzo unayotusemea ni yp..?

maji nakunywa bombani cnunui au unaropoka tu...?
 
watu wengine bwana jimboni kwake hai kuna shida ya kila namna lakini yeye kiguu na njia kutafuta sifa kwa walowezi ambao hata kura huwa hawapigi

Hivi yule jamaa aliyehongwa suti tano na mwarabu kila siku kiguu na njia ughaibuni ina maana Tanzania hakuna shida?Akili yako na avatar yako vimelandana sana mkuu.
 
Hawa watu wa Sensa wa ajabu.
Wanamkuta mtu amejipangia kachumba kake kamoja halafu wanamuuliza kama humo ndani anafuga ng'ombe au kuku!!
 
Mawazo ya diaspora hawatapiga kura lisiwaumize wana CDM michango yao tu yatosha kuwafikia wengi vijijini.Kufika vijijini ndio njia pekee ya kupata kura za mbadala na ziada ya hao dispora ambao ccm wanaojipa matumaini kuwa hatuna kura zao. hizo pikipiki tu zikitumiwa vizuri mpaka mwaka 2014 kabla ya uchaguzi mtaona matokeo yake.Vijiji tulivyofikia mpaka sasa katika mikoa mbalimbali tayari matokeo yanaanza kuonekana. GO CDM GO FAR .CIVIC RIGHTS KNOWLEDGE IS SO VITUAL TO OUR FELLOW TANZANIANS IN VILLAGES.
 
Back
Top Bottom