Freeman Mbowe - Afanya maajabu Houston TX

Weka picha wacha porojo, za Kinana tumeona DC.

Ukute ni afadhali ya Lema pale bar ya Wakenya, London.

Zomba
Houston kuna mtambo wa kufyatua digrii subiri utasikia! Si mgombea uraisi lazima awe na digrii?
Chama
Gongo la mboto DSM
 
4.jpg 5.jpg 6.jpg 7.jpg 8.jpg 8.jpg
 
Hawa watu wa Sensa wa ajabu.
Wanamkuta mtu amejipangia kachumba kake kamoja halafu wanamuuliza kama humo ndani anafuga ng'ombe au kuku!!

we nani wanauliza km unajishughulisha na ufugaji,kwan lazma ufuge kwenye kachumba?
 
Hivi siku hizi mambo yote ni kwa diaspora? Hivi ni kweli wanaenda kufungua matawi au wanasukumwa na posho na kutembea ughaibuni? Mipango ya diaspora kupiga kura ikoje ifikapo 2015 manake isiwe kufungua tu matawi lakini mwisho wa siku hao wanachama wanakuwa hawana maamuzi siku ya kupiga kura!

mbowe anapewa posho na nani maana ndiye mwkt pekee wa chama nchi nzima asiyelipwa jamani mbona hata ukweli mnapinga mboweeeeee 4people and people 4Tanzania m4c wewe chonga tu 2015 nchi inaenda kukombolewa
 
Tanzania bado kuna watu wengi hawana ufahamu wowote katika kujua haki zao za kidemokrasia wanaitaji kupewa elimu ya uraia, wafuateni hao kwanza sio kukimbilia Ulaya na Marekani kufungua matawi tatizo la Watanzania sio matawi.
 
Siasa za bongo bana. Wanasiasa nao kama bendera fuata upepo vile. JF sasa imejaa ufunguzi wa matawi ya diaspora. Hata katiba ijayo hatujui kama itaruhusu hawa watembezi kupiga kura. Kwa nini kwenda ng'ambo wakati mtaji wa kisiasa uko vijijini ambapo watu wengi bado hawajui hata wajibu wao katika nchini.
Au ndo imekuwa ni njia ya kuzuga jamii kwa kutumia pesa za wananchi wakati thumuni kuu la safari ni la kibishara binafsi.
Inakera sana.
 
Ha ha ha ha daaaaah kweli wajinga ni chakula cha wasomi...................eti kuwekeza nchini Haha haha ha haaha haaaaa........

Nyie ambao wengi wenu huko life ni kuunga unga ndo mje muwekeze huku.......give the poor Tanzanians a break please....mliamua kukaa huko na myamalize huko huko wenyewe kwa wenyewe......uwekezaji unahitajika kweli ila you are not of the capacity banaa
Umaskini wa kifikra hapa tanzania ni mkubwa kuliko hata umaskini wa kipato. We jamaa inawezekana una utajiri wa kipato lakini kifikra ni maskini kupindukia, far below thinking poverty level...
Uwekezaji sio lazima uwe wa mabilioni, hapo ndio nyie wana CCM mnapokosea na kuididimiza nchi kwenye limbi la umaskini wa kipato na ukosefu wa ajira. Mtu wa diaspora hata akileta malori mawili yakaajiri dereva wawili na kondakta wawili tayari amecreate ajira na kipato na kapunguza umaskini. Nchi kubwa kama Marekani utajiri wake wote unatokana na SMALL BUSINESSES contribution to the economy. Diaspora walio na uwezo wakihamasika na kuanzisha vimiradi hata vya dola elfu 10 tu ni mchango mkubwa sana kwa nchi hii hohehahe inayotegemea wazungu matapeli kuja kutuibia. Bahati mbaya ni kwamba CCM hawajui hata mchango wa kiuchumi wa diaspora wanapotuma fedha kwa ndugu na jamaa na wanapowekeza, Kenya wanajua.
 
Wengi wajiunga Chadema, Mkusanyiko ulikuwa ni mkubwa sana kwa historia ya mwana siasa yeyote aliyewahi kutokea Houston TX . Mbowe awabadili Wana CCM na kuwa Chadema. Mbowe afanya Houston kuwa base ya CHADEMA na wanachadema watoa Pikipiki 126

Lete picha za TUKIO zima...........
 
Tanzania bado kuna watu wengi hawana ufahamu wowote katika kujua haki zao za kidemokrasia wanaitaji kupewa elimu ya uraia, wafuateni hao kwanza sio kukimbilia Ulaya na Marekani kufungua matawi tatizo la Watanzania sio matawi.
Wakati Mh Mbowe yuko huko mamtoni,, Dr Slaa na akina Kigaila wako huko vijijini wanatoa elimu. Au hujui kuwa wameuzunguka mkoa wa Morogoro na kuvuna wanachama wapya zaidi ya 50,000 na kuwavua magamba wengine zaidi ya 7000 na kuwavalisha gwanda. Twanga kotekote ndio mpango mzima wa chama cha msimu. Nape atashindwa aanze vipi kujibu mapigo, aanzie Houston au Kilosa???
 
Huyo dada Lyimo anaonekana mjasiliamali zaidi.

Ana accommodate different views, as long as zinamletea deal.

All the best CHADEMA. Hatutaki kusikia infighting tu.
 
Mzee kinana nae anfuata chakula? hii ndio tofauti ya CDM na NyinyiEM shame on you,
mnawaza kula tu< hivi bila kuandaa chakula kwenye shughuli zenu watu hawaji?

CCM+DMV+219.JPG

chama cha ubwabwa


chama makini kwa watu makini M4C forever
Mikutano yetu haihitaji ubwabwa kujaza watu
 
watu wengine bwana jimboni kwake hai kuna shida ya kila namna lakini yeye kiguu na njia kutafuta sifa kwa walowezi ambao hata kura huwa hawapigi

Mbona JK naye kila cku anazurura huko ng'ambo na huku tukiendelea kuwa masikini, na isitoshe hata jimboni kwake kuna wanafunzi wanakaa chini na baadhi ya shule zilifelisha kdt cha 4 kwa 100% ?
 
Mapambano yanaendelea, hata Kenya KANU ilijua itaongoza milele! Dalili zimeanza na hii ni rasha rasha tu. Mvua kamili itaanza 2015!
 
Hivi siku hizi mambo yote ni kwa diaspora? Hivi ni kweli wanaenda kufungua matawi au wanasukumwa na posho na kutembea ughaibuni? Mipango ya diaspora kupiga kura ikoje ifikapo 2015 manake isiwe kufungua tu matawi lakini mwisho wa siku hao wanachama wanakuwa hawana maamuzi siku ya kupiga kura!

Ndiko uzalendo wa kutafuta haki na ukweli wa mtu mweusi ulikoanzia mkuu! Umesahau pan-africanism?
Kote ni kusonga mbele kuelekea kwenye ukombozi wa kweli wa Tanzania tuitakayo!
Wasiwasi wangu ni kwamba kama na wao wataweza kupiga kura Tanzania!
 
Hongera ....................................... lakini zingatienii angalizo hili ....//// Wanaohudhuria mikutano na maandamano sehemu kubwa sio wapiga kura, hamasisheni elimu ya uraia watu wawe na uchungu na nchi yao WAPIGE KURA
 
Tanzania bado kuna watu wengi hawana ufahamu wowote katika kujua haki zao za kidemokrasia wanaitaji kupewa elimu ya uraia, wafuateni hao kwanza sio kukimbilia Ulaya na Marekani kufungua matawi tatizo la Watanzania sio matawi.

Ritz,
Umesahau M4C imo mikoani?
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom