Kuwa busy jf.ukitaka kutoa kitu kichwani kwako kabisa kabisa unafanyeje
nimefikiria au nidrink?
unaenda bafuni unapiga keleleleeeeeeeeeeeeeeeeeee af unaoga kuanzia kichwani!ukitoka hapo poa
ukitaka kutoa kitu kichwani kwako kabisa kabisa unafanyeje
nimefikiria au nidrink?
Kupotezea ndo kufanyaje homie?hakuna kudrink wala nini.....unapotezea.....
vp mkuu...umetendwa au? Usimdelete bana msikilizie kidogo lazima arudi tu....