Alitaka leo tuachane nimemkatalia katakata

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,745
Huyu demu toka nimeacha kumpa pesa ameanza ujinga. Jan ghafla tu anasema tuachane. Nimemwambia aache huo upuuzi kabisa.

Alipaswa anipange siyo ghafla tu utadhani anadondosha glass au jiwe. Mimi sikujiandaa kwa jambo hilo. So ni bora angeanza taratibu kuniandaa siyo tu unaamka unasema tuachane.

Nimemkatalia kabisa jana. Nikamwambia aondoe hayo mawazo. mi siachwi hivyo. Leo asubuhi nimempigia simu kumwambia aje home kuna mambo yake yapo sawa.

Kawahi kuja. Tumeongea kidogo nikampa na wine kanywa... Nimemchapa nao kinyama. Kwa hasira sana... Then nikamwambia tutoke. Nikaenda naye kwake. Nikamwambia ajiandae nitampitia tukaanze weekend.

Nimemtumia msg kuwa nimefikiria lile wazo lake la jana. Nimeliafiki nimeona bora tuachane. Amepiga sana simu sipokei na msg zake sijibu.
 
Aseee
 
Hahahaha
 
Umemrahisishia kitu alikua anatamani kufanya mkuu.
Hapo nyote mmefaidika.
Haja yako ilikua wewe ndio umuache na kwa hapo umeshinda na yeye alitamani kujitoa kwako nae ameshinda.
Hongereni .
mimi nilitaka ajitoe mwenyewe nilikata misaada. akanishtukiza kuwa tuachane maana simjali siku hizi ....nikamrudisha halafu nikamwaga. sasa ameumia sababu anasema leo nlimwita kumtumia tu na alipoteza mpaka nauli ya kwendea kesho kwenye mizunguko yake.....na ameumia anataka nimsamehe turudiane. ila nimemshtukia anataka turudiane kisha animwage. nam nimegoma
 
We mkatili

. ila nimemshtukia anataka turudiane kisha animwage. nam nimegoma
Anataka kuchukua kombe lako la nani kamuacha mwenzie sio eeh?
Usikubali mkuu,kombe letu hilo halitoki😁.

Ila mkuu,kama ulishaona hakufai,ukatengemeza mazingira ajitoe mwenyewe,lengo lako likatimia akajitoa kama ulivyotaka sasa si ungejifanya tu umekubali kuachika?

Unaweza kujiona mjanja kwa ulichomfanyia ila wanawake wakikupenda kweli hata kama aliapa hakutaki tena ukimdanganya tu kidogo anabadili maamuzi.Huyo hata sasa ukitaka kumdanganya ili umbwage tena anaweza kukubali ila je inakusaidia nini katika maisha yako kutesa moyo wenye upendo wa dhati kwako.

Au ulichofanya kinakufanya ujione mwanaume sana au binadamu bora kuliko yeye.?
 
Mechi ilikuwa 2-0, dakika ya nyongeza umepiga hat trick na mechi imeisha 2-3....hongera kwa ushindi.
 
mimi nilitaka ajitoe mwenyewe nilikata misaada. akanishtukiza kuwa tuachane maana simjali siku hizi ....nikamrudisha halafu nikamwaga. sasa ameumia sababu anasema leo nlimwita kumtumia tu na alipoteza mpaka nauli ya kwendea kesho kwenye mizunguko yake.....na ameumia anataka nimsamehe turudiane. ila nimemshtukia anataka turudiane kisha animwage. nam nimegoma
Wite ...mwambia aje mysongee, umlegezee tena umle umuache mara ys pili
 
What a Come Back manina zake. Mwezi ujao mrudie halafu muache tena tufurahi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ilikuwa akatangaze kuwa amenibwaga. Wanawake wajinga sana. Hapo angejisikia mshindi. Dk za Jioni nasawazisha na kuweka mabao ya ushindi. Amebaki hoi... Anapiga simu kuwa tuonane tuongee.... Nmemkatalia na niliambiwa alikuja nilipo. Akakuta kumefungwa. Huyu demu anataka turudiane then anibwage. Simpi hiyo nafasi.....
 
Mechi ilikuwa 2-0, dakika ya nyongeza umepiga hat trick na mechi imeisha 2-3....hongera kwa ushindi.
Nashukuru sana. Haikuwa kazi rahisi ... Angeweza enda bandika hadi bango barabarani kuwa kanifunga na kachukua ubingwa. Sasa anaumia yeye maana anajaribu kutaka tuyamalize. Anasahau jana aliniambia kuwa mimi na yeye basi tuachane kila mtu ashike maisha yake.
 
  • Thanks
Reactions: jo5
Back
Top Bottom