bado, hii ni very big event, zikitoka tu utajua. TULIA kama Ackson!Habari za wakati huu vijana wenzangu,wakubwa zangu shikamoo.
Naomba kujuzwa kama selection za
kujiunga kidato cha tano kwa mwaka 2022/2023, zimeshatoka??.
Kwa yeyote mwenye taarifa naomba anijuze tafadhali.
Natanguliza shukrani.
Mwezi wa saba ndio huwa wanaripoti shuleni.Labda kwa sababu kwa sasa elimu ni bure wanadhani maandalizi sio mengi kama huko nyuma.Kwani form five huwa zinaanza lini rasmi?
Je Kwanini wasitoe mwenzi mmoja kabla au hata miezi 2 ili yafanyike maandalizi?