Hatimae Form Five Selections hizi hapa

Mzazi umewekewa na ada kabisa ujipime kama unaweza kulipa au la! Kumbe ndio sababu selection zimechelewa, mambo yalikuwa mengi
kwa mfano kama mwanangu kuchaguliwa kombi ya ati na haitaki haliyakuwa alisoma sayansi na aka pata c 3 ya math,chemia,fizikia na B ya baioloj nafanyaje hapo mkuu hebu nishauri?
 
kwa mfano kama mwanangu kuchaguliwa kombi ya ati na haitaki haliyakuwa alisoma sayansi na aka pata c 3 ya math,chemia,fizikia na B ya baioloj nafanyaje hapo mkuu hebu nishauri?
Huyo atayaweza makombi ya sayansi advance kwa izo C zake mzee baba advance haswa science sio mchezo anaweza kwenda kupoteza mda miaka miwili iyo
 
Back
Top Bottom