Form 4 ya miaka 3 mbele ukiwa na D 3 UNAENDA ADVANCE

Sheko

JF-Expert Member
Mar 9, 2013
280
26
Wakuu sijui form 4 ya miaka mitatu mbele sijui itakuwaje maana nikiwaangalia wanafunzi wenyewe sipati picha.labda baraza ipunguze ukali wa mitihani kama pepa zitaendelea kukazwa qualification za advance zitakuwa d tatu.hiyo ndo hali halisi
 
Hamna kupunguza ukali wa mitihani wala nini.

Unadhani kupunguza ukali wa mitihani ndo kujenga?
 
Back
Top Bottom