Form 4 na wengine, angalieni hapa!

naomba unisaidien kwa hili DIV.4 YA 28,
GEOG.D
CIV.F.
BIOLOGY.C
MATH.F
ENG.F
HISTORY.C
KISW.F

Nadhani Likwanda ametoa muongozo mzuri.....mara zote kozi za ualimu zinaanzia div 4 ya 28(Primary teacher TTC)
 
Na mm nina mdogo wangu amepata Div IV ya 27;
Phy D
Bio C
Chem D
math D
kisw D
Geo D
Civ D
His F
Eng F
hlfu chaguo la kwanza alijaza vyuo na la 2 alijaza Advance
TUSAIDIANENI JMN MAWAZO ILI HAWA WADOGO ZETU WASIWE VIBAKA.

Nursing ingemfaa sana coz ana C ya BIOS...namshauri akajiunge huko, bt kama hayuko interested basi afanye diploma yoyote ile atachaguliwa...fanya mchakato wa kutafuta vyuo hivyo hapo juu
 
Yeye ni wakike mkuu tena yeye hamu yake asome PCB tangu awali alikuwa anasoma shule ya private.

ujue ngoja niseme kitu kimoja....mara nyingi vyuo vingi vinaanzia na kuchukua div 4 ya 28...kuanzia ualimu na kadhalika, kwahiyo mtoto akiwa na div 28, 27,26...na kuendelea basi anaweza kujiunga na vyuo hivi. Sasa huyi mdogo ako b ya english inamnyanyua sana...ingawa alionyesha interest ya masomo ya science, kama ni wa kike basi f 5 anaenda tena kwa government selection, kama ni wa kiume patabamba....coz wasichana wanapendelewa sana kozi za sayansi...sasa hapo c ya chemistry inamuokoa sana, akae chini ale bata
 
Jamani mbona tunaomba msaada wa vyuo vya ufundi hatushauriwi jamani.,
 
Jamani mbona tunaomba msaada wa vyuo vya ufundi hatushauriwi jamani.,

Mkuu vyuo vyaa ufundi na engineering vipo vingi tu. Sema watu hawana interest navyo sana.
Kwa kuanzia tu ni kwamba kuna Vyuo vya Veta (VTC) uunaweza kujiunga na kozi nyingi za ufundi like Plumbing, Welding, Mechanical, Uashi(Civil) , Umeme(electrical) n.k

Vilevile kuna vyuo ambavyo ni vya serikali vya level ya juu like Mbeya Tech. Hapa wanatoa kozi nyingi(Uinjia wa maji na nk). Na nadhani Perfomance ya kujiunga na hivi vyuo ni ndogo/kawaida ukilinganisha na perfomance ya kwenda Advance. Mwenye details zaidi atakujuza
 
amepata iii=23, na wakatiwa kujaza alijaza chuo cha 1.dit=eletronic and tel 2.dit=eletrical 3.atc=eletronic and tel 4.dit=computer ergn 5.dit=computer ergn.

Mawazo yako mkuu..
huyu anaweza pata dit electrical au atc =electronics kutokana na ushindani wa electronics and tel hapo dit lakini ushauri wangu kwako kama ana nia ya kusoma technical college ni vyema ataakikosa jitahidi kumpeleka kama private atakosa tu ile sponsor ya government utawajibika kumlipa ada na malazi na matumizi mengine lakini ni tumaini langu atapata electrical ..
Ushauri wangu akipata electrical engineering aende hiyo diploms miaka mitatu halafu anaweza akipiga mzigo kidogo au akaunganisha bachelor ... Vigezo vya kujiunga technical college anavyo
 
WADAU WA THREAD HII MIMI NI NA WAZO JINGINE HILI LA MTU KUPITIA HII NJIA YA BODI YA WAGAVI AU WAHASIBU KUANZIA BASIC STAGE KABISA KWA MFANO NINA TABLE INAONYESHA MINIMUM ENTRY ZA KUFANYA HI MITIHANI YA HIZI BODI

HII NI KWA AJILI PROCUREMENT AND SUPPLIES PROFESSIONALS AND TECHNICIAN BOARD
[h=1]Entry Qualification[/h]



Minimum Entry Qualifications
Stage
Qualification
Basic Procurement and Supply (BPSC)
(i) Form IV or equivalent with passes in 3 subjects including English, Mathematics or Commercial subjects.
(ii) NABE stage I
(iii) Business Studies or Commercial studies at elementary stages
(iv) Any other qualification recognized by the Board as equivalent
Procurement and Supply Management Foundation Certificate (PSMFC)
(i) Form IV or equivalent with passes in 5 subjects including English and Mathematics.
(ii) Form VI Certificate.
(iii) Pre-Foundation and Basic Storekeeping Certificates issued by NBMM with 3 passes at "O" Level.
(iv) Form IV horder with the following:-
Advanced Certificate in Stores Supervision CIPS.
Certificate in Stores by Institute of Supply Management (USA).
Lower Stores Management Certificate issued by Tanzania Public Service College (TPSC).
Full NABE with 5 subjects passed.
Basic Procurement and Supply Certificate from PSPTB.
(v) Basic Certificate, NTA 4/5 in Procurement and Supply.
(vi) Any other qualifications recognized by the Board.
 
Thank god!Still he has a chance!Asante sana ndugu SIZINGA kwa taarifa,mungu akujaalie sana!Nilikuwa nimekata tamaa kwa huyu ndugu yangu!Lo mungu mkubwa aisee!!
 

Nursing ingemfaa sana coz ana C ya BIOS...namshauri akajiunge huko, bt kama hayuko interested basi afanye diploma yoyote ile atachaguliwa...fanya mchakato wa kutafuta vyuo hivyo hapo juu

huyu dogo hana Interest na nursing but yuko interested na chuo cha ardhi, au mawacliano je atapata.? au a apply chuo gan kingine.?
 
huyu anaweza pata dit electrical au atc =electronics kutokana na ushindani wa electronics and tel hapo dit lakini ushauri wangu kwako kama ana nia ya kusoma technical college ni vyema ataakikosa jitahidi kumpeleka kama private atakosa tu ile sponsor ya government utawajibika kumlipa ada na malazi na matumizi mengine lakini ni tumaini langu atapata electrical ..
Ushauri wangu akipata electrical engineering aende hiyo diploms miaka mitatu halafu anaweza akipiga mzigo kidogo au akaunganisha bachelor ... Vigezo vya kujiunga technical college anavyo

daah aise umenifungua macho ngoja nisubiri selection mkuu...zki zngua nitafanya ulivyo nishauri ubalikiwe saaaaaaana Amen...!
 
Helooow sada kama mtu yametoka hivi
geo:f
eng:c
engl lit:f
civs:f
bible:f
hist:c
kisw:d
yeye itakuaje na chuo labda fani gan anaweza chukuliwa na ungevtaja kwa mfano
 
wadau msaada please mdogo alimaliza form 4 (2009) alipata dv 4 ya 29:
CV-D, HIST-D, GEOG-D, KISW-D, ENG-D, BIOS-D, MATH-F, CHEM -F, PHY-F.

Mwaka huu kareset kapata dv 4 ya 28 alama hz:
ENG-C,
CIV-D,
HIS-D,
BIO-D,
GEO-F,
MATH-F,
LITERATURE - C.
Wazazi wanauliza aende wapi? Msaada wenu ndugu.!
 
Helooow sada kama mtu yametoka hivi
geo:f
eng:c
engl lit:f
civs:f
bible:f
hist:c
kisw:d
yeye itakuaje na chuo labda fani gan anaweza chukuliwa na ungevtaja kwa mfano

HKL anaweza kwenda ila girls are given more priority.
 
Back
Top Bottom