Form 4 na wengine, angalieni hapa!

Naomba kuhusu binti yangu amepata hivi:
CIV= B
HIS=D
ENG=C
GEO=C
KISW=C
BIO=B
MATH=F

Ana div.3point 22
Je atafanikiwa kupangiwa shule? naomba msaada wa hili.
mpe hongera yake, huyo anaweza akachaguliwa 4m 5 serikalini kama mdau sizinga alivyodadavua hapo juu, ila km kuna ushindani sana anaweza kukosa post, anza kutafuta shule za private tu aende akasome HGK au HGL , vinginevyo apige pasi ndefu ya kusoma certificate kama wadau walivyoelekeza juu.
 
Naomba kuhusu binti yangu amepata hivi:
CIV= B
HIS=D
ENG=C
GEO=C
KISW=C
BIO=B
MATH=F

Ana div.3point 22
Je atafanikiwa kupangiwa shule? naomba msaada wa hili.
niangalia mkuu hapo atapata shule tukutegemea na matokeo ya mwaka huu sasa itagemea ni shule gani yeye alijaza na COMBINATION GANI ALIJAZA YA KWANZA LAKINI NAONA KABALANCE COMB NYINGI TU MFANO HKL ANA DCC HGL DCC HGK DCC
HGE ANAWEZA KWENDA PIA TATIZO NI HIZI SHULE TU ZA SERIKALI ANAWEZA AKAPANGIWA SEHEMU MPAKA UKACHOKA
USHAURI MWINGINE KAMA UNAJIWEZA KIDOGO UNAWEZA KUTAFUTA PRIVATE YA WASTANI KWANI A LEVEL HASA KWA MASOMO YA ARTS MTOTO AKITUTUMUA ANAWEZA AKAFANYA VIZURI
NAWASILISHA
 
mkuu huyu root yake kama kamanda sizinga alivyotoa muongozo ni kupitia basic certificate( business studies yaani accounting,procurement supplies market au bba) kama yupo dar cbe au ifm .arusha iaa halfu akifaulu anaunganisha diploma ya kozi hiyo ..au la kama unaona anaweza kupambana arudie tena (reseat) ila hii option inahitaji mtoto mwenye moyo na ambaye anamegundua makosa either ni shule aliyosoma kwa maana ya (uhaba wa walimu na vitendea kazi , umbali ) au uwezo wake ni mdogo au alikuwa mzembe ndio vilipeleka kufeli kwake .kama amejitambua anaweza kureseat vinginevyo apitie hiyo root niliyokwambia mwanzo nadhani nimejaribu kutoa mchango wangu

Umesema kweli! Ahsante sana na nimezingatia ushauri huu! Keep Blessed.
 
MATOKEO YA dogo langu ni kma ifuatavyo
P=D
C=D
M=C
KATIKA KUJAZA ALIJAZA VYÛO VYA UFINDI KAMA CHANGUO LA KWANZA NA FV KAMA CHANGUO LA PILI SASA ATA CHANGULIWA KWELI AU KACHEMSHA msaada jamani?
 
matokeo ya dogo langu ni kma ifuatavyo
p=d
c=d
m=c
katika kujaza alijaza vyûo vya ufindi kama changuo la kwanza na fv kama changuo la pili sasa ata changuliwa kweli au kachemsha msaada jamani?
amepata division ngapi? Tupe matokeo yote maana nijuavyo hata kwenye vyuo vya ufundi kuna cut off point kulingana na kozi anayotaka kusoma na chuo alichochagua
maana kuna kuna kozi kama
mechanical engineering
civil engineering
electrical engineering
electronics and telecoms eng
computer eng
sasa tungepata matokeo yake yote tungesaidiana
 
amepata division ngapi? Tupe matokeo yote maana nijuavyo hata kwenye vyuo vya ufundi kuna cut off point kulingana na kozi anayotaka kusoma na chuo alichochagua
maana kuna kuna kozi kama
mechanical engineering
civil engineering
electrical engineering
electronics and telecoms eng
computer eng
sasa tungepata matokeo yake yote tungesaidiana

AMEPATA III=23, NA WAKATIWA KUJAZA ALIJAZA CHUO CHA 1.DIT=eletronic and tel 2.DIT=eletrical 3.ATC=eletronic and tel 4.DIT=computer ergn 5.DIT=computer ergn.

MAWAZO YAKO Mkuu..
 
Na mm nina mdogo wangu amepata Div IV ya 27;
Phy D
Bio C
Chem D
math D
kisw D
Geo D
Civ D
His F
Eng F
hlfu chaguo la kwanza alijaza vyuo na la 2 alijaza Advance
TUSAIDIANENI JMN MAWAZO ILI HAWA WADOGO ZETU WASIWE VIBAKA.
 
naomba unisaidien kwa hili DIV.4 YA 28,
GEOG.D
CIV.F.
BIOLOGY.C
MATH.F
ENG.F
HISTORY.C
KISW.F

Huyu CCP na TTC Wanamuitaji sana, lakini kutokana na kazi za upolisi au ualimu zisivyoridhisha kimazingira inabidi ujifunge mkanda ktk kumsomesha tena kwa kuanzia certificate ndio mwake kwa maana bado anadaiwa cr moja hivyo kurisiti ni mzunguko mkubwa. Elimu ya chuo ni rahisi kuliko A Level Maana shule ya A level ni noma sana.
 
Jamani hebu nisaidieni huyu mdogo wangu amepata div.3.22 kama ifuatavyo:civics D,bio D,chemistry C,physics D,geo D,english B,math F,kiswahili D.anaweza kuendelea na f5?eti yeye anataka PCB inawezekana kwa private schools?
 
Mkuu Sizinga, mdogo wangu amepata hivi:

Civics-C
Engl-B
Kisw-B
Bio-D
Maths-F
Geo-C
Hist-D

Ana option gani?

Kaa chini ule bata, mnunulie mwanao zawadi nzuri kwani kafanikisha level ya kwanza!! Aubirie tu selection za serikali kwa HGL, HGK
 
jamani hebu nisaidieni huyu mdogo wangu amepata div.3.22 kama ifuatavyo:civics d,bio d,chemistry c,physics d,geo d,english b,math f,kiswahili d.anaweza kuendelea na f5?eti yeye anataka pcb inawezekana kwa private schools?

ujue ngoja niseme kitu kimoja....mara nyingi vyuo vingi vinaanzia na kuchukua div 4 ya 28...kuanzia ualimu na kadhalika, kwahiyo mtoto akiwa na div 28, 27,26...na kuendelea basi anaweza kujiunga na vyuo hivi. Sasa huyi mdogo ako b ya english inamnyanyua sana...ingawa alionyesha interest ya masomo ya science, kama ni wa kike basi f 5 anaenda tena kwa government selection, kama ni wa kiume patabamba....coz wasichana wanapendelewa sana kozi za sayansi...sasa hapo c ya chemistry inamuokoa sana, akae chini ale bata
 
Tafadhali nishauri; kijana wangu amepata Civics D,Geo D,Eng D na Math D.

Huyu anaweza kujiunga na kozi za certificates kama mchanganuo unavyoonywsa hapo juu, ila akiwa na D 5 basi anaweza kujiunga moja kwa moja na diploma, ndiyo maana inasemwa mara nyingi upate walau C ya English na Maths...maisha yanakuwa mteremko.
 
Back
Top Bottom