Forever Living imeniachanisha na mke wangu

Mke wangu tangu ajuinge forever living amebadilika kabisaa kwanza amekua na jeuri na amekua haoni umuhimu wa mahusiano yake anadema hana shida na mme.

Ni mtu wa jeuri kwa sasa. Nimejitaidi kumusihisi abadilike hakunaa, nimetumia hata rafiki zake lakini hakuna.

Sinui kapata bwana huko? Amekuwa jeuri sana, kabadilika sana sana yani sijui nifanye nini.

I hate Forever Living
VITABU VITAKATIFU VINASEMA TUISHI NA HAWA WATU KWA AKILI NA KUSEMA UKWELI WANAWAKE WENGI WAKIPATA HELA HUWA NI TATIZO.WANATAKIWA WASIWE NA HELA KABISA.
 
Wewe Ndo ---- Kabisa,wanaume Kama Wewe Huwa Mnanikera Sana,kwanza Nyambaf Zako,mke Wako Ana Dalili Zote Za Kugawa Papuchi Nje Ya Ndoa Wewe Unakuja Hapa Unalia,unalia Nini? Eti Mke Wangu Amekuwa Kiburi Hasikii,mpige Chini Utafute Mwingine Umekaa Kama Zoba Zoba Tu Hadi Uletewe UKIMWI Ndo Akili Ikukae Vizuri,unaposoma Huu Uzi Wangu Rudi Nyumbani Haraka Kaifukuze Hiyo Kenge,wanawake Wote Hawa Walivyojaa Duniani Kama Mchanga Wa Bahari Wewe Unalia Lia Ujinga Hapa? Au Anakutunza Huna Kazi Yoyote Au Biashara Ya Kuingiza Kipato? Kama Hakutunzi Vunja Ndoa Hiyo Ya Kijinga,imeshaingia Doa Tayari,ukiendelea Kukaa Naye Utakuja Humu Siku Moja Unataka Kujiua Yamekukuta Makubwa Zaidi.
Aisee! Wanawake waje huku, hapa mwendo ni "kanyaga twende, aina kuremba", don't try it at home girls mlioolewa, ushauri tunaopeana wanaume katika hali ngumu ndio huu hapo
 
Wana kitu wenye wanakita mikutano ya kibiashara na mteja. Sasa wateja wengine unakuta hawana shida na hizo bidhaa wanataka huyo mwanamke, ndiyo hapo utakapoona manyoya tu. Kwanza bidhaa zao nyingi ni za gharama kwa hiyo wanaenda kwa watu wenye uwezo ndiyo huko wanapoliwa. Alafu ni biashara ya kiguu na njia. wanaliwa sana tena maofisini wakija.
Those days ulikua,haumtag yule dada?
 
Forex siyo network marketing mkuu, utangoja sana.. Kila mtu anaifanya km ameielewa na hakuna cha kukusanya he la kwa flani. Ukibugi umebugi kwa uzembe au for your own risk. Binafsi nashangaa wanaofananisha forex na forex, global alliance, club9 au qnet,, mjipe mda mpitie kuhusu Haya mambo kuliko kuwahi kuhukumu.
Hayo yote umeyasema wewe mkuu. Mimi comment yangu ilikua fupiii we ukajiongeza
 
Acheni Uongo Mm Npo Forever Na Hakuna Hyo K2 Kama M2 Ana Tabia Zake Mbaya Anazo Tu Ata Fanye Kaz Wap
...Ni wewe mmoja kati ya kumi unajielewa...ni industry ya kuvuruga Ubongo wa Wanawake.....nyingine ni ile ya yule BWANA mzee wa USHAURI.....
 
View attachment 228677
Hii ni Gari aina ya Jeep Grand Cherokee ya Kimarekani yenye thamani ya zaidi ya milioni 90 za Kitanznaia mpya kabisa yaani 0 km iliyonunuliwa na dada Huyu Blandina Njau kama wiki sita zilizopita naye anafanya biashara hii ya Forever Living.

View attachment 228680
Hii ni Nyumba ya Mr and Mrs Mgoyo wakiwa na watoto wao nje ya nyumba yao huko Arusha Tanzania yenye thamani ya zaidi ya Tsh milioni 400 za kitanzania wameijenga kwa fedha wanayolipwa na kampuni ya Forever pia...wamehamia nyumba hii mwaka jana nao wanafanya biashara hii.

Watoto wanapenda asali,watoto hawapendi ukali,watoto wanapenda safari,maisha kufika ni mbali tena kwa msoto mkali.Je na wewe maisha haya unayapenda??siyo uchawi wala utapeli ni ukweli mtupu..kinachotakiwa Kuwa na mtaji wa kianzio wa 800,000(laki nane za kitanzania) ili nawe siku moja ufikie malengo mwakubwa kama hawa watanzania wenye uthubutu.Kama upo tayari na haujafikia ndoto zako tupigie +255784778788 tukuelekeze.

Yaani umejuwaje hawa kenge kuna siku wakaniimbisha na story zao za forever living mi ola. Nikakaribishwa katika simina zao nikakuta nyomi pia wameandaliwa na watoa ushuhuda mara ooh nilienda south for months,nina gari sijui bra bra nyingii. Sijakaa sawa akaibuka daktari mtoa ushuhuda aisee kumbe wizi mtupu. Usipokuwa na akili unaingizwa mkenge mtu na ndevu zako zilizokomaa uache kazi zako uanze kuzurura mitaani na bidhaa zao. Nikasema hamnipati kamwe halafu badi inafu wanaanza kudis kazi zako. Ila ninyi jamaa Mungu anawaona
 
Pole kama ni mkeo una mamlaka nae zuia asiende tena huko au fungia ndani
Unashindwa nini kumwachisha hiyo shughuli anayofanya kama unaona inahatarisha ndoa yako? Wewe ndio kichwa cha familia fanya maamuzi haraka halafu unashindwa nini kufuatilia kujua kinachoendelea? Wanawake uwa hawashtuki mpk aone umemfuma na ushahidi anao ndio anaacha kuchepuke ukiwa unahisi hisi yeye ndio anaongeza mbinu za kuchepuka ili asishikwe. Au vp timua nyumbani mabidhaa yake ya forever living piga moto yote halafu aende kwao kueleza kilichomtokea ndio na wewe ueleze yaliyojiri. Mwanamke asikupande kichwani hata siku moja unatakiwa uwe mbabe na pia uwe na upendo wakati mambo yakiwa sawa. Ukiwa zoba utapandwa kichwani
 
mkuu umenena vyema sana kwakweli huu ni upoyoyo kama anaogopa kutoa talaka tafuta nyumba ndogo huku mwache yeye akae na wewe uwe unakuja kuangalia tu watoto ila papuchi yake na wewe susa kula the fresh one ila usiache kulipa ada na mazagazaga mengine ya watoto na usisahau kuondoka na hati za nyumba kabisa ikiwezekana kaziweke safe custody usije kusema tulikwambia upeleke kwa mke mdogo......hatutakuwepo

Hata mimi nimefanya hivihivi....sasa nalea tu familia nimehama kabisa.....acheni kabisa hawa viumbe
 
Usiogope mkuu miss-chagga. Me najua wew ni mtukutu na uko fasta fasta lakn wew SIO MKOROFI. Kam nimekutia presha mkuu nisamehe buuure!
I was expressing my self to yuo dear.

SIPENDI nasema SIPENDI Mwanaume legelege dhidi ya mwanamke.....Najua miss chaga na wanawake wengi hawampendi men goi goi.

Afu SIPENDI tena SIPENDI Mwanamke anayetumia **** yake kama pini ya kumbana mumewe ili awe mpole. Ama anakuwa kibri coz ya ilo tundu lake. Kwangu mie...nitamtapika papo hapo.

Mmoja alinifanyiaga ivo. Tumekutana mtaani...anasema hivi unionavyo naja kwako....kwa vile muda ule bado nilikuwa kweny mizunguko yanguu, nikampa ufunguo wa nyumbani kwangu na kumwambia...nenda nitakukuta. Ilikua mchana. Me nilirejea mawio. Wazo langu ni kuwa huyu shori anataka kunionesha jambo kwa vitendo(umuhimu wa mke).

Ile mawio niliporudi....toba! Nilimkuta shori wangu kajinyoosha on bed, anaburudika na santuri, kila nikigeuza shingo mule ndani....kila kitu kipo kam nilivokiacha. The lady ni taecher. Nikamezea. Tikastori hili na lile, nikajiandalia maji, nikaoga....kichwani najiuliza...ana nini huyu leo??? Au anaumwa??? Au ana mimba??? Wacha mimalize kuoga..nimsikilize. Ndo saa moja jioni hiyo, vya kupika na kunywa vimo humo humo ndani, wala huhitaji kutafuta kuni, nikamsogelea na kumuuliza....tutapika nin tule muda huu??? Akasema.....me hata sipiki, afu cjickii kula maana tangu nimekula mchana...bado niko fresh. Du! Nikamwambia poa. Me nimezoea kula kwa mama-nijazie, na nina njaa, vp...utaniruhusu niende nikale huko??? Akasema poa, nenda...usichelewe kurudi---NIKACHOKA.

Nilitoka pale ndani nikaenda bar, nikapata mchemsho na bia mbili...nikaamua nicheze pool table. Kichwani hata siioni taswira ya mwanamke ndani kwangu.! Hajafanya usafi wowote, haoni sababu ya kunipikia, anataka anieleze tu shida zake...na nikienda nae sawa kwenye anachosema ndo anipe ****...Shit!

Kule bar, nili-enjoy pool table hadi saa six...bar ikafungwa na mie nikapeleka maguu homie. Nilpofka homie, niligonga mlango nikafunguliwa. Shori alikuwa kafura kwa hasira kichizi. Kawaida nilimwambiaga...sheria ya chumbani kwanguuu...mke ni marufuku kuvaa cchhupi ukiwa chumba cha mimi. Alikiuka hiyo sheria cku iyo. Aliponifungulia, alirejea on bed. Me nikasaula viwalo vyangu, nami nikajitupa on bed.

Akaanza kunung'unika na kilio chenye kamasi nyepesi...eti oooh, kwa nn unamifanyia hiv, kwa nn umechelewa kurudi hadi mid-night...wew si uliniruhusu nikale kwa mama yeyo??? Haya tena, yupo kifua wazi, maziwa nje, kiunoni ana underskirt, naifunua iyo underskirt...nakutana nakaptula ya jinsi...afu mwenyewe anafunika kwa nguvu...sitaki! ebo! Nafikr ana-bleed..anasema sitaki tu...umeniuzi. Kha! Nikamuuliza kama nimekuudhi..mbona maziwa yako nje??? mbona bado upo kwangu??? mbona upo nami kitandani??? mbona mm huiona thamani yako tangu unyayoni hadi utosini...vip wew umeigawa kwamba kuanzia kiunoni kwenda kichwani umeacha wazi...maana hakuna tamani. Ila kiunoni mpaka magotini ndo pana thamani???

Kwa vile cjaona maana ya mke huyu, nilishamfuta kweny nafasi ya mke hafai. Mpaka **** ameifunika ambako anajua nitamlilia tu. NIKAMWAMBIA, kwa wew unatambua thamani yako ya kweny cchhup tu...na unajua kwa vyovyote nitakubembeleza kutaka "k" yako. BASI MIM SIITAKI HIYO KITU. Na nikachukua shuka jingne nikampa na kumwambia afunike ile sehemu ya kifua aliyoacha wazi....maana sina haja na "k". Nina haja na mtu full na "k"ikiwemo ndani ya mutu. HAKIKA SIKUMGUSA/ KUMWINGILIA. Alilia na akanyamaza mwenyew. Kulipopambazuka nikampa nauli ya daladala aende kwake. Aliendelea kuniomba msamaha..but nilishamdampu. SIJIDHARAU NA SIMDHARAU MTU. ILA UKIJIDHARAU NAKUWEKA KAPUNI...SINA HAJA NAWE.


huna lolote majigambo mengiiiii
 
Mimi kama mwanamke wa kitanzania, na ninayejiita good feminist naona changamoto mbili tu kuhusu dada zangu na kaka zangu wanaozungumzwa hapa

baadhi ya wanawake,tumepata elimu na nafasi na uhuru wa kufanya mambo fulani ambayo mama zetu hawakuyafanya wala wale waliotutangulia....zaidi tukalelewa tukakua tukijua kuwa kuna mfumo dume na kwamba wanaume wamekuwa sehemu ya kutudumaza,kutuonea,kutudharau na kutufanya tuwe nyuma.

(Hili ni complicated kidogo nikitumia mila,misingi ya dini na majukumu ambayo wanawake tumelelewa na kuandaliwa kufanya kwenye familia).
Tumeamua basi sasa basi nasisi tutapigana kama wao,tufanye yale tunayoweza kufanya na wanaume hawakuwa kikwazo....priority hapa ikiwa ni Hela na mafanikio yanayotafsiriwa kwa yale ambayo hela inaweza kutoa.

Kitu nilichojifunza kwangu binafsi kwa wanawake ninaowatazama kwasababu ya mafanikio na heshima waliyojijengea ni kuwa mafanikio,furaha na heshima haviletwi tu na hela....katika vitu vigumu lakini wanawake tunapaswa kujifunza ni ku-balance maisha yetu ya kikazi,kifamilia na kindoa.Binafsi nimejifunza sana kwa Sheryl Sandberg COO wa Facebook na mama yangu ambaye ni mtumishi.

Mafanikio ni nini? kuwa na hela na kulala na wanaume tofauti tofauti,kuwa safarini na kuacha familia yako muda mrefu mikononi mwa watu wengine ukitafuta hela?kumuacha partner wako wa maisha nyumbani amudu majukumu ambayo kimsingi yaliandaliwa kuwa yako),kuwa na kauli za rahisi na nyepesi kama za mafanikio yangu kwanza mengine baadaye wakati ulishaamua kuwa na ndoa?
yabidi kujipanga sana na kuangalia mitazamo gani ya kubeba na ipi siyo ya kubeba.

Kwa wanaume,ukweli ni kuwa maisha yamebadilika. hatutakuwa wanawake ambao mama zetu walikuwa.hata lifestyle tu za sasa hazituruhusu. Ni muhimu kushauriana na mke/mpenzi wako ni kwa namna gani mnaweza kuishi na mapambano ya maisha ambayo sote tunayo na mwisho wa siku kuwe na mafanikio si tu ya kifedha bali pia ya ndoa yenu,watoto wenu,jamii na hata uzee wenu.

Mabadiliko ni magumu sana.kuweni sehemu ya mabadiliko,badala ya vitisho na lawama,tushauriane kwa namna ya kuenenda. ukitishia kumuacha mwanamke ambaye akili yake inaangalia tu kwamba hela ndio kila kitu na pengine alikuoa kwa uwezo wako na sasa anaona uwezekano wa kuwa na zaidi au tayari ana uwezo zaidi ya alivyowahi kuwaza na sio kingine utaumia na wewe na familia pia.

sasa ushauri wangu kwako mi nadhani,usipigishane kelele na mwanamke. Kuwa clear tu,nini unaweza kubaliana nacho na nini huwezi. mpe uhuru wa kuchagua na muda wa kufanya hilo,baada ya hapo waite washauri wenu au hata wazee weka maamuzi yako kama mwanaume na uyasimamie ukiwa umejipanga na majibu hasi na chanya kutegemeana na kile ukitakacho. Forever Living kuna wanawake wanaifanya vizuri na kwa kulinda heshima na ndoa na familia zao,usiichukie.
Inaonekana wanawake wenye majina kama yako huwa wana akili na busara sana.
Sijui ni coincidence au ni nini ila wanawake wote niliokutana nao wenye jina la Michelle naona wapo smart upstairs.
 
Wana kitu wenye wanakita mikutano ya kibiashara na mteja. Sasa wateja wengine unakuta hawana shida na hizo bidhaa wanataka huyo mwanamke, ndiyo hapo utakapoona manyoya tu. Kwanza bidhaa zao nyingi ni za gharama kwa hiyo wanaenda kwa watu wenye uwezo ndiyo huko wanapoliwa. Alafu ni biashara ya kiguu na njia. wanaliwa sana tena maofisini wakija.
sema bosi ndo kaona manyoya, bwana alishaga kula ila bosi anamalizia mkia. chimba tu shimo na ufukie hayo manyoya, bosi hato yaona tena.
 
Back
Top Bottom