BAKHRESA HAWAJAMTENDEA HAkI AM SURE JAMAA KWENYE ToP 20 AFRICAN RICH LIST HAWEZI KUKOSEKANA
Kwa bahati mbaya nawe upo kwenye hiohio boti ya kulalamika bila kufanya kitu halisi. Ni vicious circle, unaendelea kulaumu na kulalamika. Basi tuambia unafanya nini walau chenye domino effect.
Matatizo yale yale ya hate?? nani kasema badala ya kujadili hoja kazi kwelikweli tutafika??
Well, sijajua uliandika thread hii ukiwa ktk mood gani...I mean how hard is it kumchallenge MAHINGILA wa BRELA aache ipuuzi wa kuchaji watu elfu 20 kufanya name search wakati software ya billioni 2 iko pale BRELA? lakini JF is not interested kuwasaidia wajarisia mali kufight for this ili iondolewe hii kitu kwani ni jambo ambalo linaweza likawekwa online ikarahisisha kazi....well ilikuwepo thread kulalamika lakini ikahamishwa (siri anaijua Max na Mahingila)
Naona Sliding Proof ameandika akiwa katika mood ya HATE maana hayo maandiko yake yamejaa chuki tupu na kulaumu bila kufanya uchunguziWell, sijajua uliandika thread hii ukiwa ktk mood gani...
Nadhani ni hii unaongelea - https://www.jamiiforums.com/busines...597-mahingila-of-brela-another-dodgy-ceo.html
Nilipokuwa nasoma i thought that you would have come with solution kwamba what is suppose to be done but you're just on the same boat unalalama na kalaumu bila kufanya kitu halisi
Uhuru is not as rich as Bakhresa.....
Forbes needs to do their homework in africa