RAJ PATEL JR
JF-Expert Member
- Sep 8, 2010
- 743
- 169
Dangote he's world richest black person, i hear he is underway to build a cement factory in mtwara.
Interesting!
Dangote he's world richest black person, i hear he is underway to build a cement factory in mtwara.
Net Worth | $500 Million | Source of Wealth | land |
---|---|---|---|
Age | 50 | Marital Status | Married |
Country | Kenya |
Haya mambo ya utjirii wa watu sana sana upane mwingine yanaelzea umasikini wa watu.
Ukiona USA ina matajiri wengi basi vile vile masikini wakutupwa duniani na wengi vile vile.
Nchi kama Norway na sweede hazina watu wengi kwenye list ya forbes lakini Hizo nchi za scanadnvia ndio generaaly zinaongoza kwa ubora wa maisha ya watu duniani. Kwa nini?
Dont be taken na hizi statictis za kibepri bila kutazama big picture
Haya mambo ya utjirii wa watu sana sana upane mwingine yanaelzea umasikini wa watu.
Ukiona USA ina matajiri wengi basi vile vile masikini wakutupwa duniani na wengi vile vile.
Nchi kama Norway na sweede hazina watu wengi kwenye list ya forbes lakini Hizo nchi za scanadnvia ndio generaaly zinaongoza kwa ubora wa maisha ya watu duniani. Kwa nini?
Dont be taken na hizi statictis za kibepri bila kutazama big picture
Kwani wanatumia kigezo gani? Watanzania wenye billions of money achia mbali assets mbona hatujatajwa?
Uhuru is not as rich as Bakhresa.....
Forbes needs to do their homework in africa
Maswali makuu kuhusu utajiri wa Uhuru Kenyatta:
- Uhuru utajiri wake ni kwa kunyakua ardhi toka kwa walowezi wa kizungu na kuwaacha maelfu ya wa-Kenya bila ardhi ni halali?
- Matajiri wenzie pamoja na mkenya mwingine ktk list ya FORBES utajiri wao ni ktk Construction industry, Oil Industry, Telecommunication Industry n.k, je Uhuru Kenyatta haonei aibu utajiri aliorithi toka kwa Mzee Kenyatta ni sawa na kumfukuza mlowezi mweupe na kumuingiza mkoloni mwaeusi Kenya?
- Mau Mau waliopigana vita vya kumgoa mkoloni mweupe sasa wamepata mkoloni mweusi, je hilo ni jambo la kujisifia?
In a country where the wealth of the country is concentrated in the hands of a few people ,that is a sign of acute inequality in income distribution; implicit in all this is that in such countries there are a multitude of poor people. Mfano mzuri ni U.S.A. where only 1% of the population control the vast wealth of the country!!
Forbes magazines inaugural list of the 40 richest people in Africa put Nigerias Aliko Dangote as Africas richest man. Dangote with a stake in Dangote Cement and interests in flour milling and sugar refining, has a fortune of $10.1bn (£6.4bn).
The inaugural list puts South Africas Nicky Oppenheimer at number two with $6.5bn.
Two Kenyans Uhuru Kenyatta and Chris Kirubi appear on the list in the 26th and 31st position. Uhuru who is 50 years old has a fortune of $500 million (Sh45 billion) while Kirubis fortune is valued at $300million (Sh29 billion).
Chris Kirubi
The magazine ignored dispersed family fortunes, such as the Chandaria family of Kenya.
Forbes said it had reached the values using stock prices for publicly-traded companies and estimates of revenues or profits for the many privately-held businesses.
why pick on Uhuru matajiri wote duniani nyenzo yao ya utajirisho ni dhuluma tu.........................soma Mario Puzzo................."Behind every great fortune there is crime."
Pia walipa kodi wakubwa mpaka namba 20 haonekani!!Yule ni mzalendo bwana, hana ubishoo wa kutaja alivyonavyo. Bakhresa angekuwa kama hawa vinyangalika wengine kutwa mashinda na media tungerest in peace. Kuna watu hawapendi attention za media. Hakuna mlipa kodi kama huyo bwana vinginevyo angeshafungiwa bidhaa zake.