Forbes releases African rich list...

Kombo

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
1,812
509
Good observation/Lakini inahitaji uchambuzi zaidi

Inawezekana kale katabia ka wafanyabiashara wa bongo kuficha mapato ili kuwepa kodi ndiyo kamesababisha Bakhressa asiwemo kwenye orodha ya forbes.
 
Msishangae,manake clouds entertainment nayo iko kwenye forbes list of serious business companies
 
nna wasiwasi na hz data!?, ka Uhuru Kenyata ana worth ya $500m af kuna kipindi Nilisikia kuna raia mmoja hk serikalini anamiliki trilion 3 imekuaje hasiingie kwny list?! Vp kuhusu yule mwarabu aliyetaka kuinunua liverpool fc?
 
BAKHRESA HAWAJAMTENDEA HAkI AM SURE JAMAA KWENYE ToP 20 AFRICAN RICH LIST HAWEZI KUKOSEKANA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom