Swaziland wamenifurahisha wako natural, wengine wote amma wamejikoroga amma wamebandika nywele za maiti.
Katika tembea yangu niliwapenda sana vimwana wa Msumbiji. Wale waliochanganya na wareno, mnhhhhh, kiboko, sijapata kuona katika Afrika, labda Brazil.
Swatzland?
Swatzland?
Shelisheli , ethopia na rwanda mkuu . Ni noma hizi nnchi.
Uzuri wa hizi nnchi nilizotaja shelisheli , ethopia na rwanda + eritria madem wazuri wapo wengi sio wakutafuta kama nnchi nyingine.
Nina mpango wa kuzitembelea zilizobaki ...............Rwanda tayari!