Wapi kuna kitu?
Shelisheli , ethopia na rwanda mkuu . Ni noma hizi nnchi.
Mkuu hebu tupe totooz za Mauritania(siyo mouritius) pamoja na Madagascar nasikia huko napo ni balaa!! Kura zangu mpaka sasa ni:- 1.Eritrea. 2.Djibouti 3.Rwanda 4.Somalia 5.Ethiopia 6.Baba Mwanaasha's land na sisi wapo pia.
1]ethiopia
2]eritrea
3]madagasca
4]mauritania
5]rwanda
6]angola
7]baba mwanaansha's land
8] south africa
9]nigeria
10]botswana
mimi hapo kwa mswati tu,bongo make up na mchina ndiyo vina wa boost.
mswati kitu natural bwana.