For Mens Only: Wapi Totoz Kali Africa?

Sudan?

708,xcitefun-miss-sudan.jpg


1404569202_e19591a8e6.jpg


Miss%20sudan.jpg
 
Swaziland wamenifurahisha wako natural, wengine wote amma wamejikoroga amma wamebandika nywele za maiti.

Katika tembea yangu niliwapenda sana vimwana wa Msumbiji. Wale waliochanganya na wareno, mnhhhhh, kiboko, sijapata kuona katika Afrika, labda Brazil.
 
napita tuu hapa ila kenya mmmh, kuna tatizo aisee!
Angola mmh si haba kule......
 
Japo uzuri uko katika macho ya Mtazamaji lakini Wanawake wa Kiafrika ni Wazuri mno.
 
HAHA, NIMEKUMBUKA KUNA MDAU BAADA YA KUFANYA TRANSIT ETHIOPIA KWA SIKU MBILI NA KUZUNGUKA ZUNGUKA MITAANI HALAFU ALIWEKA PESA ZAKE KWENYE BEGI LA NGUO NA HAKUA NA KITU MFUKONI ILI AJIRUSHE ALISEMA SIKU ANARUDI NYUMBANI AKIFIKA ETHIOPIA ILI AFANYE TRANSIT TENA ATACHANA PASSPORT ILI ABAKI PALE KWA SIKU KADHAA AMALIZE HASIRA ZAKE , :lol:TOTOZ MATATA,
 
Back
Top Bottom