For Men: Ilishawahi kukutokea?

Huyo ndio hatari kuliko wote....! Haiwezekani dereva ambaye hajawahi hata kushika stelingi ya gari aendeshe gari hilo kwa mafanikio makubwa, tena bila woga wowote...! Ni mzoefu huyo, na anaficha makucha...! Zinduka kaka...!
 
Wakiwepo wewe utawapenda?.......walikuwepo zamani.....wakajashtukia kumbe humu duniani kumejaa usanii wakabadilika.....siku hizi imebaki kuuziana cheni feki na kulipana noti bandia lol.......ilimradi maisha yanasonga mbele.......ila sio kama hawapo kabisa.....wapo sema wakuhesabu!

Kumbe unajua wapo. Hebu niambie na wewe enzi zako ulivyokuwa kama wao
 
Inaonyesha wanaume wengi sana wanapenda vichenchede!

Sio vichenchede.....anaweza akakuganda na akawa bomu vilevile............Hapa tunazungumzia challenges anazoweza kutoa. Si unaona tunawaonea huruma...........kwamba awe makini siku akijua kuna "kupanda na kushuka" na si kila siku ni Jumamosi!!
 
Hahahaha jamani, jamani lol........kumbe kugandwa nako hampendi eeh?.......sasa asipokuganda utajuaje kama anakupenda?

mamito msichana akupendaye hujali muda pia...maana anajua muda wa kuwa naye ukifika unatumika ipasavyo....kuna hawa wasichana huwa wanapenda kushow off ile mbaya na akukute ndio handsome kama mimi watu8, mbona utabandikwa picha zako sijui tagged,fb,netlog utadhani mgombea wa Chagua CCM.
 
hahahaha.
 
Wanaume bwana!!! usipomuganda analalamika eti inaezekana kuna mtu wanasaidiana. Ukimganda nayo kumbe ni tabu eti unambanabana!!! Mwataka nini sasa nyie viumbe??????????!!!
 
mamito msichana akupendaye hujali muda pia...maana anajua muda wa kuwa naye ukifika unatumika ipasavyo....kuna hawa wasichana huwa wanapenda kushow off ile mbaya na akukute ndio handsome kama mimi watu8, mbona utabandikwa picha zako sijui tagged,fb,netlog utadhani mgombea wa Chagua CCM.

Hahahaha ila ni kweli lol.......wewe ni handsome kumzidi platozoom ?
 
Last edited by a moderator:
Hivi siku hizi mapenzi yamekuwa charity kiasi kwamba kila mwenye matatizo yake aonewe huruma na kupewa msaada?Enzi zangu ilikuwa ni maslahi yangu kwanza. Hata ningejaribu vipi, niliamini kuwa lazima baadhi ya watu watatumika na kuumizwa tu, including myself.
 
Jamani mimi inocent girls na ambao wanakuwa commited 100% wanafika mahali wanaboa. Wao wanafikiri kwamba uhusiano ni ndoa, ila hiyo ni tofauti kwetu wanaume. vipo vitu vingi ambavo mtu anaangalia ili ajikite kwenye ndoa kama sijaviona na kuridhika kwa mdada hata awe commited so nitamuumiza tu, kwani ni vema kuumia kidogo kuliko kuumia kwa kuachana baada ya ndoa.
@ Lara1, cielo na wengine msiogope, njooni kwangu tu hamtaumia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom