Fomu za uamsho za kupinga muungano. Watu 500,000 watia saini

thatha

JF-Expert Member
Apr 29, 2011
15,340
1,566
Baada ya Baadhi ya vyombo vya habari kutoa habari kuhusu kuwepo kwa fomu ya kujaza kupinga Muungano.
Tayari misusuru mikubwa ya watu kujitokeza kujaza fomu hiyo imekuwa kubwa.
Tayari fomu hizo zimeenea ktk vyuo vikuu vya Tanzania bara na hata huko Visiwani.
Wanaonekana kujitokeza kwa wingi na baadhi ya wanasiasa na wasomi wa Zanzibar bila kuangalia chama chao
Kwa mujibu wa mmoja wa mtu anaeratibu kazi hiyo kwamba kweli wazanzibar wameamua kujitoa muhanga kuhusu hili.
UAMSHO walipanga kupata saini 450,000 (100% ya malengo yao) ambayo kwao wadai ni ushindi
Jee nini mustabali wa Muungano
 
Ujinga huu jazeni fomu zoote mpigwe marungu tuu, pendeni msipende ndoa rahisi kuingia ila si kutoka, sisi tunajua kuoa na si kuacha!
 
Enyi wenzangu Wanabodi, ni gharama kubwa mno KUVUNJA MUUNGANO WA TANZANIA eti tu ni kwamba watu wanaota KUANZA UPYA kwa kila kitu hapa.

Kuhusu swala la Muungano, hili jema la CCM-Nyerere ambalo ametuachia sasa kilicho cha msingi zaidi ni KURUHUSU MJADALA WA KINA KWA LENGO LA KUBORESHA na wala si kubomoa Muungano wetu.

Muungano ukiboreshwa na mawazo shirikishi kutoka chini kwetu sisi wananchi utatunufaisha zaidi ka kule FALME ZA UINGEREZA walivyo tangu enzi na enzi. Cha msingi serikali ya CCM iache mara moja Ujanja Ujanja juu ya nia ya wananchi kuujadili Muungano.
 
Je,hili lipo katika katiba ya muungano? Pengine ikawa ni kupoteza muda tu. Kama vipi na huku bara walete hizo fomu ili na sisi tusiopenda kuitwa makafiri tusaini ili wabaki hukohuko kwao na ubaguzi wao.
 
jazeni mjitoe muungano ndio mtajuta baadae
hamjui jinsi bara inavowabeba ktk kila sekta
mtakuwa mnakuaja viza tanganyika na mjue garama za maisha zitakuwa juu mara 2 huko
mnavopenda kukaa vibarazani kazi hamfanyi si mtakufa maskini?
itakuwa raha sana wabongo wakamate maduka ya wapemba manake mko wengi sana bara
na pia waliojenga bara watatimka pemba.HAPO NDO MTAKAPOJUTA KUUCHEZEA MUUNGANO
KWANI UKIVVUNJIKA HAKUNA ZANZIBAR BALI UNGUJA NA PEMBA.
VUNJENI FASTA MUUNGANO TUMEWACHOKA BARA
 
jazeni mjitoe muungano ndio mtajuta baadae
hamjui jinsi bara inavowabeba ktk kila sekta
mtakuwa mnakuaja viza tanganyika na mjue garama za maisha zitakuwa juu mara 2 huko
mnavopenda kukaa vibarazani kazi hamfanyi si mtakufa maskini?
itakuwa raha sana wabongo wakamate maduka ya wapemba manake mko wengi sana bara
na pia waliojenga bara watatimka pemba.HAPO NDO MTAKAPOJUTA KUUCHEZEA MUUNGANO
KWANI UKIVVUNJIKA HAKUNA ZANZIBAR BALI UNGUJA NA PEMBA.
VUNJENI FASTA MUUNGANO TUMEWACHOKA BARA

inamaana watanganyika wanawapenda zanzibar? au kwa manufaa yenu
 
MNafiki mkubwa wewe, hizo fomu kaanzisha nani? au chombo gani rasmi kilicho anzisha suala hilo?
acha kuleta hoja kumfurahisha aliye kutuma.
 
MNafiki mkubwa wewe, hizo fomu kaanzisha nani? au chombo gani rasmi kilicho anzisha suala hilo?
acha kuleta hoja kumfurahisha aliye kutuma.

si muuvunje fasta mnasubiri nini9, kwanza mnatunyonya tu hatuwafagilii wala nini, kwndeni zenu huko
 
kwanza wengi tunawabeba kwenye vyuo vikuu kupitia bodi yetu ya mikopo ya elimu ya juu ambayo si ya muungano, halafu mko wengi kweli mnaosoma kwenye vyuo vyetu vya bara,vunjeni tuone kama mtasomeshwa na serikali yenu
 
Ujinga huu jazeni fomu zoote mpigwe marungu tuu, pendeni msipende ndoa rahisi kuingia ila si kutoka, sisi tunajua kuoa na si kuacha!


Haachiki mtu...wanadhani kuolewa ni kazi ndogo? Hakuna kuvunja ndoa hapa, ndoa ni agano la milele!!!!!1
 
wazanzibar mnachelewaaa vunjeni hata kesho 2mewachoka na pia muuze na mali zenu huku bara azawize 2nataifisha.
 
Enyi wenzangu Wanabodi, ni gharama kubwa mno KUVUNJA MUUNGANO WA TANZANIA eti tu ni kwamba watu wanaota KUANZA UPYA kwa kila kitu hapa. Kuhusu swala la Muungano, hili jema la CCM-Nyerere ambalo ametuachia sasa kilicho cha msingi zaidi ni KURUHUSU MJADALA WA KINA KWA LENGO LA KUBORESHA na wala si kubomoa Muungano wetu. Muungano ukiboreshwa na mawazo shirikishi kutoka chini kwetu sisi wananchi utatunufaisha zaidi ka kule FALME ZA UINGEREZA walivyo tangu enzi na enzi. Cha msingi serikali ya CCM iache mara moja Ujanja Ujanja juu ya nia ya wananchi kuujadili Muungano.
kama ccm itaondoka huko bara basi muungano utavunjika wenyewe hakuna anaetaka kungangania upuuzi huu wa nyerere ambae ametumwa na mabeberu kuunganisha..ni aibu kubwa kwa Tanganyika kuikalia ZANZIBAR kama KOLONO LAKE ..huu si muungano ni ukoloni dhidi ya nchi huru ya Zanzibar.... haukua Muungano....watu walifanyiwa kiini macho...ni ubeberu na Nyerere alitumika ....kwa kumtisha Karume ....na kisheria si halali kabisa ..wananchi hawakushirikishwa... kama zanzibar kwa umoja wao wakisema basi....ni haki yao kupata uhuru wao..inatosha miaka 50 ya ukoloni wa Tanganyika
 
Watu laki 5 si niwazenji wote? kwani zenji nzima watu wako wangapi?

Kutokana na takwimu za ZEC za mwaka 2010, Wazanzibari > 18 yrs ni 600,000 (yaani waliofikisha umri wa kupiga kura). Kwa mantiki hiyo ni wazanzibari wote wanatakiwa kujaza hizo forms. Maswali yangu?
1. Je baada ya kujaza hizo forms nini kitafuata?
2. Je ni nani anayeratibu zoezi hilo?
 
Back
Top Bottom