Mangaline
JF-Expert Member
- May 19, 2012
- 1,045
- 221
ujinga huu jazeni fomu zoote mpigwe marungu tuu, pendeni msipende ndoa rahisi kuingia ila si kutoka, sisi tunajua kuoa na si kuacha!
huo ni ubakaji. Ndoa ni hiari
ujinga huu jazeni fomu zoote mpigwe marungu tuu, pendeni msipende ndoa rahisi kuingia ila si kutoka, sisi tunajua kuoa na si kuacha!
Watu laki 5 si niwazenji wote? kwani zenji nzima watu wako wangapi?
jazeni mjitoe muungano ndio mtajuta baadae
hamjui jinsi bara inavowabeba ktk kila sekta
mtakuwa mnakuaja viza tanganyika na mjue garama za maisha zitakuwa juu mara 2 huko
mnavopenda kukaa vibarazani kazi hamfanyi si mtakufa maskini?
itakuwa raha sana wabongo wakamate maduka ya wapemba manake mko wengi sana bara
na pia waliojenga bara watatimka pemba.HAPO NDO MTAKAPOJUTA KUUCHEZEA MUUNGANO
KWANI UKIVVUNJIKA HAKUNA ZANZIBAR BALI UNGUJA NA PEMBA.
VUNJENI FASTA MUUNGANO TUMEWACHOKA BARA
je,hili lipo katika katiba ya muungano? Pengine ikawa ni kupoteza muda tu. Kama vipi na huku bara walete hizo fomu ili na sisi tusiopenda kuitwa makafiri tusaini ili wabaki hukohuko kwao na ubaguzi wao.