Flaviana Matata - Tumaini jipya la Watanzania

omujubi

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
4,325
2,498
The Rise And Rise Of Matata: Africa's leading model Flaviana Matata

Habari za huyu dada wengi nina uhakika wanazijua lakini kwa siku za kariburi amekuwa akipenya anga za kimataifa na binafsi namuona kama namba mpya ya kutupeleka watanzania at the global stage.
Japo sio shabiki na mfuatiliaji wa hii fani kwa siku za karibuni, ukiondoa Miriam Odemba wengi wamekuwa wakiiaibisha na kuidhalirisha.
Naleta hii habari hapa baada ya kuikuta kwenye homepage ya mtandao mkubwa kabisa duniani wa microsoft 'wwwm.msn.com', ikiwa ni pamoja na interview alizozifanya BBC.

Fuatilia zaidi hapa


fl.jpg flv.jpg
 
tumaini - hope
for what aspect she has made to be our hope or hope in which theory don quench i!
 
Nadhani ukisema ni tumaini jipya la familia yake wala sina tatizo lakini ondoa neno Taifa, ni Taifa lipi linalotegemea au kujivunia hao models!!??
Ujinga huu.
 
AnafAnya poa,Yupo peace kwa Kila Mtu ..hAna Pozi kama hao wanaolipwa Laki Laki

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
huyu binti binafsi namkubali sana coz anajiamini, anajithamini, anajua value yake, anajituma kwenye fani yake na kubwa zaidi haruhusu kutumika hovyo kama chombo cha ngono kama baadhi ya wanamitindo wengine wakike tz.bigup flav, akiendelea hivi atafika mbali sana, may GOD be with her.
 
Anafanya vizuri sana walikuwa wanamuongelea BBC,ni mfano kwa wasichana wengi,hasa models.
 
huyu binti binafsi namkubali sana coz anajiamini, anajithamini, anajua value yake, anajituma kwenye fani yake na kubwa zaidi haruhusu kutumika hovyo kama chombo cha ngono kama baadhi ya wanamitindo wengine wakike tz.bigup flav, akiendelea hivi atafika mbali sana, may GOD be with her.

umejuaje?
 
Mmh kweli hili TAIFA linahitaji maombezi TUMAINI letu ni models...hahaha huyo model analipa kodi kiasi gani TRA,amejenga shule ngapi,barabara ngap na ameajiri vijana wangapi...EMU izi habari pelekeni kwenye vile VI BLOG vyenu uku TUPO GREAT THINKER ATI.
 
duh,Mkalikenya umefuta yote niliyotaka kuandika!asante ila kibinafsi yake anafanya vzr
 
Mungu ambariki afike mbali ya hapo watanzania hatupendani kwa kweli....

hawa hawa wanaosema eti mafanikio yake hayana faida kwa taifa ndio hawa hawa siku akiaribu watasema anaaibisha taifa
duh
 
go go go Flaviana! endelea kupeperusha bendera ya taifa letu,

Mwenyezi Mungu azidi kukupigania uendelee kutimiza malengo yako
 
Back
Top Bottom