flash disk zinauzwa kuanzia 1gb mpaka 64 gb

frozen

Senior Member
Aug 12, 2010
135
32
Wanajamii forums nauza original flash disk za transcend zikiwa na life warranty, ninazo kuanzia 1gb mpaka 64 gb pia nina memory card kuanzia 1gb mpaka 32 gb, zote ni aina ya transcend. plz Pm
 
Wanajamii forums nauza original flash disk za transcend zikiwa na life warranty, ninazo kuanzia 1gb mpaka 64 gb pia nina memory card kuanzia 1gb mpaka 32 gb, zote ni aina ya transcend. plz Pm

Mkuu Frozen, tangazo lako halijitoshelezi kabisa. Unapatikana wapi? Na bei ni kiasi gani kwa kila aina? Je unauza kwa jumla au rejareja. Weka vitu hadharani wada wachangamkie tender
 
Wanajamii forums nauza original flash disk za transcend zikiwa na life warranty, ninazo kuanzia 1gb mpaka 64 gb pia nina memory card kuanzia 1gb mpaka 32 gb, zote ni aina ya transcend. plz Pm

Weka bei mkuu twende sawa
 
1 gb 15570/

2 gb 19570

4 gb 22500

8 gb 32500/

16gb 40500/

32 gb 85000/

64 gb 167200/

flasha zote ni 100% original zikiwa na life warranty, kama flash inashida yoyote ile una badilishiwa. zipo nyingi- kwa wale wenye kuitaji nyingi kwa ajiri ya kuuza kuna discount nzuri, pia utapata trancend magazine ambayo ina bidhaa zote zote za transcend, for more info plz ni PM. karibu
 
ndo mana akasema umpm.

PMed. But Mkuu Mikatabafeki, tangazo linatakiwa likamilike, Says Who?- SOKO. hata hivyo baada ya jamaa kuweka hizo price hadharani nimeweza kuunganisha Dots nikajua kwa nini hakuweka mwanzo. Mf. Hiyo bei ya flash 64gb ni sawa external hard disk ya 500GB ( ni original na ina lifetime warrant). Ni transcend pia.

Kila la heri mkuu Frozen, lakin inabidi uangalie uwezekano wa kucheza na hizo bei kwani soko lina ushindani sana kwa sasa
 
bei inazungumzika kaka, kama unaitaji ni Pm, then tunaweza jua nikupunguzie ngapi. flash ni nzuri na imara sana.karibu
 
1 gb 15570/

2 gb 19570

4 gb 22500

8 gb 32500/

16gb 40500/

32 gb 85000/

64 gb 167200/

flasha zote ni 100% original zikiwa na life warranty, kama flash inashida yoyote ile una badilishiwa. zipo nyingi- kwa wale wenye kuitaji nyingi kwa ajiri ya kuuza kuna discount nzuri, pia utapata trancend magazine ambayo ina bidhaa zote zote za transcend, for more info plz ni PM. karibu

zinapatikana mkoa gani mkuu?
 
Back
Top Bottom