nyambari
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 355
- 171
Anapenda kufungua benki za vicoba na saccos za akina mamaWa kwetu anapenda nini?
Anapenda kufungua benki za vicoba na saccos za akina mamaWa kwetu anapenda nini?
Huyu wa kwetu kazi yake kubwa ni kupaka ina kwenye vidole na kutafuta fasheni za nguo ili aonekane yeye ni mke wa rais. Ndiyo tatizo la kuwa na rais mswahili na first lady mswahili.