First lady

KAKA A TAIFA

JF-Expert Member
Apr 27, 2011
566
80
ANAPENDA MBOGA MBOGA SANA HIVYO NDANI YA WHITE HOUSE AMELIMA BUSTANI KUBWA ,NA HUSHIRIKIANA NA WANAWE WAWILI SASHA NA MALIA ,AMEPANDA ZAIDI YA AINA 55 ZA MBOGA MWAKANI AMEPANGA KUTOA KITABU KUHUSU MAMBO YA MBOGAMBOGA JE HUU SI MFANO WA KUIGWA.
mr_2353bb10bfbf00.jpg
 
Safi sana mama Obama,mimi sijui hapa kwetu anafanya shughuli gani ya mfano maana kama taasisi zipo nyingi
 
Anafaa kwenda Zenj..mambo ya mbogamboga na mikate si unajua tena, lol!
 
Sisi first lady wetu naye ni Rais anapambana na wapinzani majukwaani kumtafutia mme wake ulaji zaidi, hana muda wa kulima bustani.
 
Safi sana mama Obama,mimi sijui hapa kwetu anafanya shughuli gani ya mfano maana kama taasisi zipo nyingi

naskia 1st lady wetu ni naibu waziri mkuu anasubr kuapshwa tu sasa atafanyaje shughuli kama hzo..
 
First lady wetu, kutwa kwa mafundi kushonesha nguo. Misafara yake inatuletea foleni tu barabarani.
 
ANAPENDA MBOGA MBOGA SANA HIVYO NDANI YA WHITE HOUSE AMELIMA BUSTANI KUBWA ,NA HUSHIRIKIANA NA WANAWE WAWILI SASHA NA MALIA ,AMEPANDA ZAIDI YA AINA 55 ZA MBOGA MWAKANI AMEPANGA KUTOA KITABU KUHUSU MAMBO YA MBOGAMBOGA JE HUU SI MFANO WA KUIGWA.
mr_2353bb10bfbf00.jpg
Kwa iyo??
 
Huyu wa kwetu kazi yake kubwa ni kupaka ina kwenye vidole na kutafuta fasheni za nguo ili aonekane yeye ni mke wa rais. Ndiyo tatizo la kuwa na rais mswahili na first lady mswahili.
 
Back
Top Bottom