First class chuo ni za ma TO tu-wenye historia

hizo first class ni za vyuo gani maana kuna vyuo vingi vinasifika kwa kutoa first class tu lkn hamna kitu..navyo kumbuka kuna TO mmoja hvi alidisco coet kozi yake ilikua telecom engineering..kama ni vyuo vyenu vya kata mtapata tu hizo first class
 
napinga...nilipata 1 ya 8 o level, na div 2 a level na kupata 1st class kali tu chuoni!!!!
But haimanishi ndio ubora! Na ma 1st class yetu na a kumi na ushee ma shuleni, hatuwezi hata kuvumbua kitu na kusema we proud of......!

sawa tumekusikia japo najua hiyo ni 1st class ya vyuo vya uchochoroni
 
hizo first class ni za vyuo gani maana kuna vyuo vingi vinasifika kwa kutoa first class tu lkn hamna kitu..navyo kumbuka kuna TO mmoja hvi alidisco coet kozi yake ilikua telecom engineering..kama ni vyuo vyenu vya kata mtapata tu hizo first class

mkuu lyamber umeongea jambo la msingi sana, kupata 1st class si rahisi kama kumlisha mtoto pipi.
 
Kumbe ni yuleyule mwanamabadiliko mwanafunzi wa CHOO KIKUU,mtoa mada unachokisema hakina ukweli ni bidii yako na determination ndo vitakufanya ufaulu vizuri na si kwasababu ulikua TO
 
ina kaukweli flani,let take a simple example-someone by the name-martin chegele alianza u-to tangu primary 2000,then o-level maua 1-7 ,a-level pugu 1-3 na chuo-udsm 4.8 na bado upo masterz alifanya maajabu ktk course work anamalizia dissertation,hapo naona inawezekana ikawa hvyo lakini si wote.
 
Hi student? Jamani mi ni mzoefu na chuo .. Kwanza najua kila mmoja anapojiunga na chuo mawazo yake huwa ni kupata 1st class yani GPA 4.4-5.0 lakini kiuhalisia ndoto zao hupotea wanapokuja kugundua ukweli. Wanaopata 1st class chuo karibu 95% ni ma TO(TZ ONE- TOP 20), Wanaopata hzi ni wale wenye hstoria zao, mara o level 7,8 a leve 3,4. Kwa hyo msijetarajia makubwa wakati huna uwezo. Mfano mwaka 2005 jamaa aligradte mzumbe akapata 5.0 Gpa overal, na jamaa alikuwa wa 3 fom six. Waachie matoo first class zao, wale jamaa tunawaita SUPER HUMANS
Niwewe 2 ndo unawaita Super humans.:cool:
 
ina kaukweli flani,let take a simple example-someone by the name-m****n c*****e alianza u-to tangu primary 2000,then o-level maua 1-7 ,a-level pugu 1-3 na chuo-udsm 4.8 na bado upo masterz alifanya maajabu ktk course work anamalizia dissertation,hapo naona inawezekana ikawa hvyo lakini si wote.

Wataja majina ya nini mkuu? Mie nawajua ma-TO wengi mbona sijawataja ebu futa hilo jina bwana.
 
Average student are better than top students when it comes to practical life,,, they are street smart, know how to interact in business, street confidence, and they don't fear to fail, this makes then succeed in everything they do than top students,,, most of top students they become fustrated some years after graduation when they meet with classmates who are average students in those college days as they differ in everything from earnings, investment, and future of their families
 
nilikua sijajua aliyetoa huu uzi kumbe ni mwanamabadiliko
fact:wakuu jaribuni kumfatilia huyu jamaa humu jf utagundua kitu

Unakumbuka ile thread ya swali la Math jamaa alivyo kua anang'ang'a kua hakuna njia ni DE tu, wakati watu tulinuonesha njia clearly lakini akawa anabisha tu. huyu jamaa kichwa yake haiko fresh tunamuita
"ABNORMAL HUMAN"
 
TO gani ambaye hajapata first class?
•Mnawajua ma-TO wote kuanzia 1995-2008? Mie nawajua kama 8 hivi na Mmojawapo ni ZeMarcopolo (Jamaa kichwa na amepata first class),wengine siwataji ila wametoka Mzumbe/Kibaha na Ilboru,wengi naowajua wanakula maisha.....M1(A 10 olevo,A 3 alevo na 4.9 chuo) tu ndio alipata mitihani baada ya kumaliza chuo alikosa kazi kwa mda hivi akawa fustrated lkn baadae alipata kazi anakula maisha.
•Mie nilipiga One ya 3 Advance lkn sijabahatika kupata U -TO! Na Chuo kama kawa 1st class kwahyo nakubaliana na mtoa uzi,wengi waliopiga point3 wamepiga 1st class chuo.

unakubalina nae hii kauli??
"First class ni za maTO tu wengine hawapati." soma mada vizuri kabla hujachangia
 
Last edited by a moderator:
to gani ambaye hajapata first class?
•mnawajua ma-to wote kuanzia 1995-2008? Mie nawajua kama 8 hivi na mmojawapo ni ZeMarcopolo (jamaa kichwa na amepata first class),wengine siwataji ila wametoka mzumbe/kibaha na ilboru,wengi naowajua wanakula maisha.....m1(a 10 olevo,a 3 alevo na 4.9 chuo) tu ndio alipata mitihani baada ya kumaliza chuo alikosa kazi kwa mda hivi akawa fustrated lkn baadae alipata kazi anakula maisha.
•mie nilipiga one ya 3 advance lkn sijabahatika kupata u -to! Na chuo kama kawa 1st class kwahyo nakubaliana na mtoa uzi,wengi waliopiga point3 wamepiga 1st class chuo.

heshima yako mkuuu!!!
 
Last edited by a moderator:
hizo first class ni za vyuo gani maana kuna vyuo vingi vinasifika kwa kutoa first class tu lkn hamna kitu..navyo kumbuka kuna TO mmoja hvi alidisco coet kozi yake ilikua telecom engineering..kama ni vyuo vyenu vya kata mtapata tu hizo first class

Mkuu hata mimi nlipofika first year ud nlipata habar zake so tusikariri ma t.o pia wanadisko
 
Hi student? Jamani mi ni mzoefu na chuo .. Kwanza najua kila mmoja anapojiunga na chuo mawazo yake huwa ni kupata 1st class yani GPA 4.4-5.0 lakini kiuhalisia ndoto zao hupotea wanapokuja kugundua ukweli. Wanaopata 1st class chuo karibu 95% ni ma TO(TZ ONE- TOP 20), Wanaopata hzi ni wale wenye hstoria zao, mara o level 7,8 a leve 3,4. Kwa hyo msijetarajia makubwa wakati huna uwezo. Mfano mwaka 2005 jamaa aligradte mzumbe akapata 5.0 Gpa overal, na jamaa alikuwa wa 3 fom six. Waachie matoo first class zao, wale jamaa tunawaita SUPER HUMANS

Poole samaki pooole!
 
Acha uongo, kuna wengine walipata div 2 form six na chuo wakaondoka na first class so analysis yako ni uongo mtupu!usiwakatishe tamaa wadogo zetu bure!
 
Hi student? Jamani mi ni mzoefu na chuo .. Kwanza najua kila mmoja anapojiunga na chuo mawazo yake huwa ni kupata 1st class yani GPA 4.4-5.0 lakini kiuhalisia ndoto zao hupotea wanapokuja kugundua ukweli. Wanaopata 1st class chuo karibu 95% ni ma TO(TZ ONE- TOP 20), Wanaopata hzi ni wale wenye hstoria zao, mara o level 7,8 a leve 3,4. Kwa hyo msijetarajia makubwa wakati huna uwezo. Mfano mwaka 2005 jamaa aligradte mzumbe akapata 5.0 Gpa overal, na jamaa alikuwa wa 3 fom six. Waachie matoo first class zao, wale jamaa tunawaita SUPER HUMANS
mkuu sio siri umenichekesha sana!!! mara ya kwanza ulisema una phd ya mathematics tena from abroad..then juz kati ukasema uko 4th yr pale coet!!!! leo una uzoefu wa chuo...yap ni kwel...kama mdau mmoja alivyosema hapo juu mkubwa HUJIAMINI!!!! KAKA TUNAHITAJI MAWAZO YAKO SANA LAKIN KWA MAWAZO KAMA HAYA NTAKUA NA WASI WASI SANA NA UWEZO WAKO WA KIMAWAZO...KAJIPANGE.....
 
Back
Top Bottom